Vijana baada ya kusikia Treni ya Umeme itaanza kufanya kazi na muda wake kuwa mdogo eg. Dar to Dodoma (kwa Omba Omba) ni masaa 3
Vijana wamefurahi na kutoa maoni yao huku furaha yao kubwa ni kuvusha mademu toka Dom.
Nimepitia habari kwenye kurasa tofauti na nimeshangazwa kuona vijana wamekuwa wana-comment na wanafurahi kuvusha mademu wa Dodoma (Maskani ya Milembe).
AMA KWELI UJINGA HAUTOISHA KWA VIJANA MASKINI.....