#COVID19 Nchi ngapi duniani wananchi wake wanapinga chanjo ya Corona?

#COVID19 Nchi ngapi duniani wananchi wake wanapinga chanjo ya Corona?

Michosho

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2012
Posts
662
Reaction score
649
Nikiwa napitia mada mbali mbali hapa JF, kuhusu chanjo ya covid, nimekuwa nikisoma comments mbali mbali za wadau, juu ya hii chanjo ya covid19.

Wapo wanao pinga chanjo, na wapo wanaotaka chanjo na tayari wengine wameshachanja.Ok fine,

Sasa Nimekuwa nikijiuliza, kwa kukuwa suala hili la chanjo Ni la dunia nzima, je, Kuna nchi nyingine ambazo zoezi hili la chanjo halijapokelewa vyema na wanachi wake au Ni Tanzania tu? Mfano wa nchi hzo ni zipi?? Na je, Kuna nchi ambayo Hadi leo hii, hawajaagiza chanjo? wao sababu zao za kutoagiza chanjo ni zipi?

Na je, km zipo , na pengine Ni nyingi, kwa Nini chanjo ikataliwe hivyo wakati madhara ya ugojwa wa covid,Delta na lambda wananchi wenyewe wanayaona?

(Yaani wananchi wanakufa Sana) kama tunavyoaminishwa na baadhi ya watu katika comments zao na media mbali mbali?.
 
Back
Top Bottom