Mjanja M1
JF-Expert Member
- Oct 7, 2018
- 4,058
- 14,382
Mjanja M1 naelekea kuiacha hii biashara ya miamala maana naona mazoea yamezidi kila uchwao, walianza Tigopesa kupunguza asilimia 10% kwenye miamala na sasaivi Airtel wamefuata huo Utoto.
Yani hapa nimlipe Mfanyakazi, nilipe pango, nilipe TRA n.k
Aisee! Hii nchi kila mtu anajiamulia atakacho bila ya kujali washirika wake.
AIRTEL MMEKOSEA SANA KUPUNGUZA COMMISSION KIENYEJI.
Yani hapa nimlipe Mfanyakazi, nilipe pango, nilipe TRA n.k
Aisee! Hii nchi kila mtu anajiamulia atakacho bila ya kujali washirika wake.
AIRTEL MMEKOSEA SANA KUPUNGUZA COMMISSION KIENYEJI.