TRA si hukuta kodi yao direct?Mjanja M1 naelekea kuiacha hii biashara ya miamala maana naona mazoea yamezidi kila uchwao, walianza Tigopesa kupunguza asilimia 10% kwenye miamala na sasaivi Airtel wamefuata huo Utoto.
Yani hapa nimlipe Mfanyakazi, nilipe pango, nilipe TRA n.k
Aisee! Hii nchi kila mtu anajiamulia atakacho bila ya kujali washirika wake.
AIRTEL MMEKOSEA SANA KUPUNGUZA COMMISSION KIENYEJI.
Hii asilimia 10 mbona iko zaman sana ama ww ni wakala mpyaa,kote mpk mabank kamishen zikitoka wanakata 10 asilimia ya kodiMjanja M1 naelekea kuiacha hii biashara ya miamala maana naona mazoea yamezidi kila uchwao, walianza Tigopesa kupunguza asilimia 10% kwenye miamala na sasaivi Airtel wamefuata huo Utoto.
Yani hapa nimlipe Mfanyakazi, nilipe pango, nilipe TRA n.k
Aisee! Hii nchi kila mtu anajiamulia atakacho bila ya kujali washirika wake.
AIRTEL MMEKOSEA SANA KUPUNGUZA COMMISSION KIENYEJI.