Nchi nyingi zakatisha mahusiano na Israel. China waifuta kabisa kwenye ramani. Tanzania tufuatie

Sahau tz kuifuta Israel ,wanajeshi wetu wote wanaopiga oparation ukanda wa mashariki yambali ,Israel inahusika kuwalinda kwa ukamilifu na hadhi ya hali ya juu
 
😂😂😂 Waislamu mna mambo sana nyie
Mwal Nyerere wakati anavynja mahusiano ya Diplomasia na Israel hakuwa Muislamu bali mkristo wa kanisa Katoliki, Mugabe wakati anavunja uhusiano na Israel hakuwa Muislamu ila mkristo wa kanisa Katoliki na nchi nyingine pia kama 7 ikiwemo kenya, Uganda na Zambia, Misri etc
 
Wa kufuta nao ubalozi ni hao Palestina ambao wametekwa watanzania wenzetu, wengine ni DP world, use wanaopokea rasilimali zetu na kunyanyasa wamasai.
 
Mwal Nyerere wakati anavynja mahusiano ya Diplomasia na Israel hakuwa Muislamu bali mkristo wa kanisa Katoliki, Mugabe wakati anavunja uhusiano na Israel hakuwa Muislamu ila mkristo wa kanisa Katoliki na nchi nyingine pia kama 7 ikiwemo kenya, Uganda na Zambia, Misri etc
Kwan wakristo wapo asilimia ngapi hapo Israel.?
 
Hao wakiitenga Israel ndio itakuwaje sasa kwa hiyo itafanya Israel wakivamiwa na magaidi ndio wanyamaze tu..?
 
Kwan wakristo wapo asilimia ngapi hapo Israel.?
Israel kuna wakristo kwa idadi ndogo sana inakadiliwa 1.8% na huko Gaza kuna Wakristo pia kwa idadi ndogo tu na ndiyo maana ulisikia lile kanisa lilishambuliwa.

Aliekuwa mwandishi wa habari wa Aljazeera Shireen Abu Akleh aliua mwaka jana akireport taarifa juu ya Israel ikivyomega eneo ukingo wa Magharibi na hatimae alilengwa sniper na kuuawa alikuwa mkristo pia alikuwa raia wa Palestina na Marekani! Alizikwa Palestina najeneza lake lilibebwa na watu wengi waislamu wakipeleka kanisani kwaajili ya sara ya mwisho na hatimae mazishi.
 
Sasa mambo ya viongozi Wakristo umeyaingiza vp kufuta balozi zao huko Israel.?
 
Mpaka nikiandika mataifa yaliyokarisha uhusiano na Israel yamefikia 9. Kwa unyama inaofanya taifa hilo hasa kuuwa watoto ikifika kesho jioni watakaokuwa wamebaki watakuwa ni wachache.

Tanzania ni miongoni mwa nchi ambazo hazikuwa na mafungamano na taifa hilo ovu mpaka baada ya miaka mitatu iliyopita.

Uamuzi wa serikali zilizopita ulikuwa sahihi.Huenda wangekuwa hai viongozi wa mwanzo wa taifa hili maarufu kwa kupigania haki za wanyonge basi Tanzania ingekuwa kati ya nchi za mwanzo kufunga ubalozi wake mjini Tel Aviv.
Mataifa yaliyokatisha mahusiano hayo ninayoyakumbuka kwa haraka ni Bolivia,Lebanon,Turkiye,Afrika Kusini,Jordan na kuendelea.

Kwa kiburi ilichonacho Israel na kukataa kusikiliza nasaha za ulimwengu mzima, kukatisha uhusiano ni jambo dogo hata hivyo ni kuonesha moyo na huruma kwa maelfu ya watoto na wanawake wanaouliwa huko Palestina.

Kilichotakiwa hasa ni mataifa kutuma vikosi vyao chini ya UN kwenda kuwapiga Israel ili waache kuuwa watu kama shetani.
Chukua ukoo wenu na familia yenu mkaipige Kwa maana UN HAWEZI Fanya hilo...
 
Wameifuta kwenye ramani ipi., tuwekee hapa tuone. Jamaa hata wakibaki na mshirika mmoja tu ambaye ni US bado watasonga.
 
Kwani israel ilikuwa kwenye
Mpaka nikiandika mataifa yaliyokarisha uhusiano na Israel yamefikia 9. Kwa unyama inaofanya taifa hilo hasa kuuwa watoto ikifika kesho jioni watakaokuwa wamebaki watakuwa ni wachache.

Tanzania ni miongoni mwa nchi ambazo hazikuwa na mafungamano na taifa hilo ovu mpaka baada ya miaka mitatu iliyopita.

Uamuzi wa serikali zilizopita ulikuwa sahihi.Huenda wangekuwa hai viongozi wa mwanzo wa taifa hili maarufu kwa kupigania haki za wanyonge basi Tanzania ingekuwa kati ya nchi za mwanzo kufunga ubalozi wake mjini Tel Aviv.
Mataifa yaliyokatisha mahusiano hayo ninayoyakumbuka kwa haraka ni Bolivia,Lebanon,Turkiye,Afrika Kusini,Jordan na kuendelea.

Kwa kiburi ilichonacho Israel na kukataa kusikiliza nasaha za ulimwengu mzima, kukatisha uhusiano ni jambo dogo hata hivyo ni kuonesha moyo na huruma kwa maelfu ya watoto na wanawake wanaouliwa huko Palestina.

Kilichotakiwa hasa ni mataifa kutuma vikosi vyao chini ya UN kwenda kuwapiga Israel ili waache kuuwa watu kama shetani.ramani ya china?
Kwani Israel ilikuwa kwenye ramani ya china? kama ni kwenye ramani ya dunia china anahusika vipi na kuedit ramani ya dunia?

Toka zamani Iran alishapendekeza israel ifutwe kwenye ramani ya dunia
lakini kwa sababu Mungu wa Israel ndiye muumba wa mbingu na nchi,hakuna atakayeifuta
israel kwenye ramani labda Mungu mwenyewe aamue hivyo.
 
Sasa mambo ya viongozi Wakristo umeyaingiza vp kufuta balozi zao huko Israel.?
Screenshot_2023-11-07-09-57-48-15_dc00545bd3b8828f033a02ac25b2d36d.jpg
 
Israel hawana nia ya kuokoa mateka na Hamas hawawezi kujisalimisha kama askari wa Ukraine kule Azovstal
Basi hakuna namna wapigwe tuu,sasa kelele za nini?
Watu tunashindwa kula chips zetu na soda baridi,kila mahali kelele na bendera nyekundu na kijani.
Mchuma janga hula na wa kwao.
 
Miaka 100 nyuma Israel state haikuwepo. Usitupige kamba.
Shirikisha ubongo wako kabla ya kukemoent. Kilichoanguak ani Hongkong, na vita ilikuwa baina ya Uiengereza na China. Wafadhili wa biashara walikuwa wayahudi na ndo wenye biashara nyingi duniani.

Nani kakuambia Wayahudi wote wanaishi Israel?? Israle ina hadi Waarabu, wazungu, African race n.k
 
Mpaka nikiandika mataifa yaliyokarisha uhusiano na Israel yamefikia 9. Kwa unyama inaofanya taifa hilo hasa kuuwa watoto ikifika kesho jioni watakaokuwa wamebaki watakuwa ni wachache.

Tanzania ni miongoni mwa nchi ambazo hazikuwa na mafungamano na taifa hilo ovu mpaka baada ya miaka mitatu iliyopita.

Uamuzi wa serikali zilizopita ulikuwa sahihi.Huenda wangekuwa hai viongozi wa mwanzo wa taifa hili maarufu kwa kupigania haki za wanyonge basi Tanzania ingekuwa kati ya nchi za mwanzo kufunga ubalozi wake mjini Tel Aviv.
Mataifa yaliyokatisha mahusiano hayo ninayoyakumbuka kwa haraka ni Bolivia,Lebanon,Turkiye,Afrika Kusini,Jordan na kuendelea.

Kwa kiburi ilichonacho Israel na kukataa kusikiliza nasaha za ulimwengu mzima, kukatisha uhusiano ni jambo dogo hata hivyo ni kuonesha moyo na huruma kwa maelfu ya watoto na wanawake wanaouliwa huko Palestina.

Kilichotakiwa hasa ni mataifa kutuma vikosi vyao chini ya UN kwenda kuwapiga Israel ili waache kuuwa watu kama shetani.
lakini Hamas walipovamia na kuua wanawake na watoto mlishangilia !!, waislamu hua ni watu wa ajabu sana. Mwanakulitafuta akipelekewa moto anaanza kulalama, tuliemi nadhani madrasa mlifundishwa kuinama vizuri
 
Back
Top Bottom