Nchi nyingi zakatisha mahusiano na Israel. China waifuta kabisa kwenye ramani. Tanzania tufuatie


View: https://twitter.com/TheAfricaReport/status/1721759131432890391?t=AQei1ePUyyY3gDtkOMrpiw&s=19
 
lakini Hamas walipovamia na kuua wanawake na watoto mlishangilia !!, waislamu hua ni watu wa ajabu sana. Mwanakulitafuta akipelekewa moto anaanza kulalama, tuliemi nadhani madrasa mlifundishwa kuinama vizuri
Hakuna aliyeshangilia kuuliwa watoto na hakuna ushahidi mpaka sasa kama waliuliwa.Na wewe usishangilie kuuliwa mpaka wafanyakazi wa UN.Tulia tu uone mwisho wa taifa ulipendalo
 
Hakuna aliyeshangilia kuuliwa watoto na hakuna ushahidi mpaka sasa kama waliuliwa.Na wewe usishangilie kuuliwa mpaka wafanyakazi wa UN.Tulia tu uone mwisho wa taifa ulipendalo
nasubiri kuona mwisho mpini utakapowafikia magaidi natunaini wataendelea kuinama kama mlivyofundishwa
 
Wayahudi wamepita katika mateso makali yasiyo na mfano kwa karne nyingi katika mataifa mbalimbali walikochukuliwa! Mpaka ndoto yao ya kurudi katika ardhi ya Mababu zao ilipotimia 1948! Kwa hiyo kwa mateso waliyopitia hawako tayari kumskiliza mtu ye yote linapokuja swala la kutaka kuwatoa katika ardhi yao.
Pili ukiangalia kwa makini Wayahudi hawapendi kuchokozwa! Wakichokozwa ni Jino kwa Jino!
 
Weka chanzo sasa cha hii historia.
Baada ya kukuwwkea chanzo, umeona sasa jinsi hawa Wayahudi(Wasiomuogopa Mungu) walivyo waharibifu?

1. Banking system yenye kufuata Usury(Riba) ilikuwa perfected na akina Rothschild Wayahudi, na imewapa utajiri mkubwa sana wa Mataifa.

2. Movement ya kuua Ukiristo na kuistriff Europ off christianity, nyuma yake kuna Wayahudi wenye chuki kali mno dhidi ya Ukiristu.

3. Movement za Mashoga, na kuusambaza Ushoga, behind the Scene unawakuta hawa jamaa na Influence yao ktk Entertainment na media industry

4. Leo nimekuwekea information uone nani alikuwa behind dawa za Kulevya zilizoivunja China kutoka Taifa tajiri ktk middle ages na kugeula kuwa Taifa masikini kutupwa. Sasa hivi Wa hina wameamka upya.

5. Siku ya September 11, Wayahudi wanaofanya kazi katika Twin Towers waliambiwa wasiende kazini siku hiyo. Jiulize why?

6. Wanaoshabikia hawa Wayahudi wa kileo Zionism hawajui kuwa wanashabikia Beast, Lile limnyama ambalo ni ongo, linajiportray kama Takatifu lakini limebeba ajenda ya Ibilisi. Na linadanganya wengi kwelikweli
 
Acha kujitoa ufahamu, mbona Hamas walivyovamia Israel na kuua watu 1400 na kuteka Zaidi ya 200 uliona sawa na hukutaka Tanzania ivunje uhusiano na Palestine. Sasa unataka tuingie kwenye mgogoro ambao hautuhusu.
 
Taratibu ostaz pata kwanza kikombe cha Gahawa

Sent from my Infinix X663 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…