Nchi tatu za Ulaya zinaongozwa na marais mashoga; hatuna cha kushauriwa nao

Stuxnet

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2011
Posts
18,875
Reaction score
29,427
Screenshot_20260513_053335_Lite.jpg

Hawa hawana lolote la kutufundisha au kutuamuru. Nchi tatu za Ulaya zina wakuu wa nchi ambao ni mashoga:- Netherlands, Latvia na Andorra. Wana matatizo makubwa na nchi zao msiwape huo umaarufu wa kuingilia mambo yetu. Hata hiyo misaada wanayotaka kukata, wasitishe tu ili tujifunze kujitegemea. European Parliament KWENDRAAAA...
 
Sa
View attachment 3587846

Sawa mkuu siku moja utaungana nasi , kila kitabu na zama zake japo najua wakati huo kwa aibu utabadili hadi ID
 
Bora wawe mashoga lakini hawatoi uhai wa mtu kuliko hapa kwetu ni mashoga na wanaua raia kwa mamia ndani ya nchi yao wenyewe
 
Ally Kibao
Tundu Lissu
Sativa
Azory Gwanda
Humphrey PolePole
Mdude Nyagali
Shadrack Chaula
Mi nadhani sasa wapinzani mmeishiwa hoja kabisa, kuna wakati nyie ndiyo mnalalamika kuwa tunapokea misaada mpaka Nchi itauzwa halafu wakati huu mpo pamoja na E.U. Uliwahi kuona wapi hawa watu wakafanya jambo bila maslahi yao binafsi?
 
Sa
Sawa mkuu siku moja utaungana nasi , kila kitabu na zama zake japo najua wakati huo kwa aibu utabadili hadi ID
Manyumbu na nguchiro mnajifanya mnataka kuikomboa nchi ya Tz. Nyinyi ndiyo maadui wakubwa wa Tz, hampendi kuiona nchi ipo salama mnapenda wazungu waje waisambaratishe nchi sasa ndiyo kuipenda vipi nchi yenu? Mnahamsisha vurugu nchi iwe kama Sudan, DR Congo. Somali. Mnawashangilia wazungu waje kuivuruga nchi hamjui nchi ikivurugika haijengeki tena? Watakao pata tabu ni wananchi wote matatizo hayachagui chama watu wote watateseka. Sijui kinawapendeza nini nyinyi manyumbu? Kweili unyumbu ni janga, mtatubu tu
 
Katika nchi zilizotajwq naisikiaga Netherland pekee. Siijui kiundani hata mji wake mkuu.

Kwahiyo tunawanyooshea mikono mashoga tunawakumbatia wauaji.

Wakati huohuo tunazitaka fedha zao
Mji mkuu wa Netherlands ni Amsterdam!!
 
Bora wawe mashoga lakini hawatoi uhai wa mtu kuliko hapa kwetu ni mashoga na wanaua raia kwa mamia ndani ya nchi yao wenyewe
Wale wahalifu wa Oktoba 29 waliokuwa wanachoma miundombinu walistahili walichopata. Bila risasi wale walikuwa wanaipeleka nchi yetu pabaya
 
Bora shoga atajuana na Mungu wake siku ya hukumu kuliko muuaji anayeua watu wasio na hatia.
NB usikute na Tanzania nayo iko kwenye hiyo category unayosema.

Back
Top Bottom