Hivi wewe jamaa unayejiita mstaafu hivi una akili hata moja kweli? Hivi ni kwamba huoni kabisa hoja wanazozipigia kelele wapinzani na walioandamana mkawaua? Umewekewa hadi majina ya waliouawa ambao ndio moja ya sababu ya watu kuandamana na wapinzani kupaza sauti. Ukiachilia hao waliotekwa na kuuawa pia kuna ubadhirifu na wizi wa mali za umma kwa mujibu wa ripoti ya CAG. Kwa hiyo vyote hivi huvioni? Nauliza tena una akili hata moja kweli wewe? Anyway achana na swali la kuwa na akili, hebu niambie huyaoni haya hapo juu niliyokuorodhoshea ambayo ndio yanapigiwa kelele?Manyumbu na nguchiro mnajifanya mnataka kuikomboa nchi ya Tz. Nyinyi ndiyo maadui wakubwa wa Tz, hampendi kuiona nchi ipo salama mnapenda wazungu waje waisambaratishe nchi sasa ndiyo kuipenda vipi nchi yenu? Mnahamsisha vurugu nchi iwe kama Sudan, DR Congo. Somali. Mnawashangilia wazungu waje kuivuruga nchi hamjui nchi ikivurugika haijengeki tena? Watakao pata tabu ni wananchi wote matatizo hayachagilui chama watu wote watateseka. Sijui kinawapendeza nini nyinyi manyumbu? Kweili unyumbu ni janga, mtatubu tu
Hayo ya ushoga wao hayakuhusu bali kumbukaView attachment 3587846
Hawa hawana lolote la kutufundisha au kutuamuru. Nchi tatu za Ulaya zina wakuu wa nchi ambao ni mashoga:- Netherlands, Latvia na Andorra. Wana matatizo makubwa na nchi zao msiwape huo umaarufu wa kuingilia mambo yetu. Hata hiyo misaada wanayotaka kukata, wasitishe tu ili tujifunze kujitegemea. European Parliament KWENDRAAAA...
Wadanyeni hao mizombie wa CHADEMA kuwa humo Bunge la Ulaya lina nguvu yeyote. Israel hushambuliwa kwa maneno makali zaidi ya haya na Israel inaendelea kuuwa wapalestina kwa maelfu. Hayo ni maoni ya huyo mtoa maoni, maoni yake tu tunayaheshimu na sio amri.Kama hawana cha kukufundisha basi ata mikopo,misaada yao achana nayo pia usipeleke ata mitoto yenu kwenda kusoma,kufanya kaz uko
Mbona hayo ni binafsi zaidi ukilinganisha na hoja iliyo mezani?View attachment 3587846
Hawa hawana lolote la kutufundisha au kutuamuru. Nchi tatu za Ulaya zina wakuu wa nchi ambao ni mashoga:- Netherlands, Latvia na Andorra. Wana matatizo makubwa na nchi zao msiwape huo umaarufu wa kuingilia mambo yetu. Hata hiyo misaada wanayotaka kukata, wasitishe tu ili tujifunze kujitegemea. European Parliament KWENDRAAAA...
Basi yaambie hayo mashoga ya Bunge lenu la Ulaya yaje yamkomboe Tundu kama alivyochukuliwa Maduro. Watachezea kipigo kama cha IranHao unaowakandia ni mashoga ndio wafadhali wakubwa wa nchi yenu, kenge wewe. Mkifanya mambo ya hovyo lazima wawapige bit ili muheshimu na kujali maisha ya watu
Kuna wakati ninakuona ni mtu mwenye akili. Ila kuna wakati unakuwa na ubongo kama wa kuku. Wewe umekuja na uzi wako wa mashoga! Ulikoutoa unajua mwenyewe. Watu wanajitokeza kukukosoa, unawaita mashoga!Nimetupa jiwe gizani, na mashoga mmetokeza. Aibu
Ninayaona ile hatuwezi kupangiwa na mashoga wa Bunge la Ulaya, period.Hivi wewe jamaa unayejiita mstaafu hivi una akili hata moja kweli? Hivi ni kwamba huoni kabisa hoja wanazozipigia kelele wapinzani na walioandamana mkawaua? Umewekewa hadi majina ya waliouawa ambao ndio moja ya sababu ya watu kuandamana na wapinzani kupaza sauti. Ukiachilia hao waliotekwa na kuuawa pia kuna ubadhirifu na wizi wa mali za umma kwa mujibu wa ripoti ya CAG. Kwa hiyo vyote hivi huvioni? Nauliza tena una akili hata moja kweli wewe? Anyway achana na swali la kuwa na akili, hebu niambie huyaoni haya hapo juu niliyokuorodhoshea ambayo ndio yanapigiwa kelele?
Sawa kabisa. Sasa kama unayaona tufanyaje ili yasiwepo?Ninayaona ile hatuwezi kupangiwa na mashoga wa Bunge la Ulaya, period.
Thubutuu...Hata hiyo misaada wanayotaka kukata, wasitishe tu ili tujifunze kujitegemea.
Kuna wakati ninakuona ni mtu mwenye akili. Ila kuna wakati unakuwa na ubongo kama wa kuku. Wewe umekuja na uzi wako wa mashoga! Ulikoutoa unajua mwenyewe. Watu wanajitokeza kukukosoa, unawaita mashoga!
Huoni kama una matatizo ya akili
Ongeza hapo Tanzania,
Kwa siku za karibuni hata hao wazee wameshtuka, hawaitaki Mbogamboga
Ni machawa na wapuuzi aina ya Lucas Mwashambwa tu ndiyo wanatumika kiboya kuipamba ccm.Kwa siku za karibuni hata hao wazee wameshtuka, hawaitaki Mbogamboga