Jitambue kwanza ndio uwe unaleta mada zako humu. Wewe hiyo inakuhusu nini? Wao kwa reasoning yao wameona sawa sasa wewe kutoka mchambawima unakuja unataka kuwapangia watu. Deal na issues za national levels sio za kujadili mambo personal.Nyie mnashangaza sana, yaani unaita ndoa za jinsia moja ni personal issues?? No wonder Robert Amsterdam anamhangaikia sana Mwenyekiti wenu aliye rumande Ukonga
EU haifanyi maamuzi ya kuondoa viongozi wa nchi huru. Bunge la Ulaya hutoa maazimio ya kisiasa na wito wa uchunguzi tu, si amri. Kisheria, uongozi wa nchi huamuliwa kupitia Katiba na taasisi za ndani kwa kuzingatia uhuru wa dola na sheria ya kimataifa.Jitambue kwanza ndio uwe unaleta mada zako humu. Wewe hiyo inakuhusu nini? Wao kwa reasoning yao wameona sawa sasa wewe kutoka mchambawima unakuja unataka kuwapangia watu. Deal na issues za national levels sio za kujadili mambo personal.
Kwani wewe kupandisha hoja hii huna maslahi binafsi? Inatuhusuje sisi wasomaji kwa nchi kuongozwa na shoga?Mi nadhani sasa wapinzani mmeishiwa hoja kabisa, kuna wakati nyie ndiyo mnalalamika kuwa tunapokea misaada mpaka Nchi itauzwa halafu wakati huu mpo pamoja na E.U. Uliwahi kuona wapi hawa watu wakafanya jambo bila maslahi yao binafsi?
Na bintiye kabundi ni lecturer huko kwa nchi uliyodai inaongozwa na mashoga huenda naye ni ......! Ccm ni viande vya bei ya jioni hakika.Ndiyo hatutaki pesa zao, tutajitegemea
Bado hujaharisha vizuri. Trump akitoka china brake ni tanzania. International intervention kwa mauaji ya kimbari hamtaikwepa hata msikiri uchi!Tuyajadili wenyewe kama Taifa, lakini tusitegemee mzungu kutoka Belgium ndiyo atusaidie
duuh !Bado hujaharisha vizuri. Trump akitoka china brake ni tanzania. International intervention kwa mauaji ya kimbari hamtaikwepa hata msikiri uchi!
Kipindi cha magu huyu jamaa alitoa milio sana.Sa
Sawa mkuu siku moja utaungana nasi , kila kitabu na zama zake japo najua wakati huo kwa aibu utabadili hadi ID
Wala sijawakashifu, hao marais wa wamejitangazq wenyewe kuwa ni mashoga. Jaribu ku-Google "Openly gay peesidents in Europe", kisha uone majibu utakayopataKwani wewe kupandisha hoja hii huna maslahi binafsi? Inatuhusuje sisi wasomaji kwa nchi kuongozwa na shoga?
Halafu hizi accusation zinaharibu diplomasia kati yetu na wao, kwani hazina ushahidi wowote. Tambua nchi hizo zina ofisi za za ubalozi hapa nchini na Tanzania inao mabalozi kule kwao na wanakusoma humu. Unajua consequences zake? Kama unazo picha zao wakifanya vitendo hivyo iweke hapa tuione. Acha ufala huenda hata wewe ni shoga!
Utasubiri sana hiyo international intervention mpaka uzeeke. Hicho kitu hakitotokea. Jiulize Ukraine wangapi wamekufa na huko Gaza Wapalestina hasa watoto wanauliwa kama kuku wa mdondo na muuaji ni Trump mwenyewe.Bado hujaharisha vizuri. Trump akitoka china brake ni tanzania. International intervention kwa mauaji ya kimbari hamtaikwepa hata msikiri uchi!
Ushoga wao unakuathirije? Hizo ni personal affairs ambazo hazina athari yoyote kwa yeyote. Ishi maisha yako na fanya yanayokuhusu.Wala sijawakashifu, hao marais wa wamejitangazq wenyewe kuwa ni mashoga. Jaribu ku-Google "Openly gay peesidents in Europe", kisha uone majibu utakayopata
Usibadili avatar pindi yakitimia.Utasubiri sana hiyo international intervention mpaka uzeeke. Hicho kitu hakitotokea. Jiulize Ukraine wangapi wamekufa na huko Gaza Wapalestina hasa watoto wanauliwa kama kuku wa mdondo na muuaji ni Trump mwenyewe.
Wala sili keki yeyote. Magufuli ndiye ametufikisha hapa tulipo. Magufuli ndiye alianzisha utekaji, uuaji, kukandamiza demokrasia na kutofuata utawala wa sheria.Kipindi cha magu huyu jamaa alitoa milio sana.
Sasa hivi anakula keki ya taifa ndio maana anaongea shombo.
Mkuu kama huoni athari za ushoga kwa tamaduni zetu za Kiafrika basi unahitaji tiba ya akili.Ushoga wao unakuathirije? Hizo ni personal affairs ambazo hazina athari yoyote kwa yeyote. Ishi maisha yako na fanya yanayokuhusu.
Kama wananchi anaowaongoza walimpa dhamana, wewe ni nani kwake hadi uumie moyo?
Kuna Kesi ngapi za watu wakitekwa wanaingiliwa kinyume na maumbile? Mfano Agatha na Boniface n.k. Embu niambie lengo huwa nini? Waje kuwa mashoga ama? Sasa hapo mnakua na tofauti gani na hao unaowasema hapa? Yaani mnahusudu Sana mambo ya kubaka wanaharakati alafu wakati huo huo mnajifanya kupinga ushoga. Kama sio unafiki ni nini?View attachment 3587846
Hawa hawana lolote la kutufundisha au kutuamuru. Nchi tatu za Ulaya zina wakuu wa nchi ambao ni mashoga:- Netherlands, Latvia na Andorra. Wana matatizo makubwa na nchi zao msiwape huo umaarufu wa kuingilia mambo yetu. Hata hiyo misaada wanayotaka kukata, wasitishe tu ili tujifunze kujitegemea. European Parliament KWENDRAAAA...
Walikuwa wanaipeleka wapi? Mbona Gen Z wa Kenya walichoma hadi bunge ila Ruto akaamua kutumia diplomasia na maandamano yakaisha? Kwani naye alishindwa kuuwa maelfu mbele ya kamera?Wale wahalifu wa Oktoba 29 waliokuwa wanachoma miundombinu walistahili walichopata. Bila risasi wale walikuwa wanaipeleka nchi yetu pabaya
Sasa kama umeamua mwenyewe kumuunga mkono Samia kutokana na sababu zako, ni kwa nini unabweka, kufokea na kutukana watu hovyo humu jukwaani? Ni lazima kila mtu aufuate msimamo/mtazamo wako?Wala sili keki yeyote. Magufuli ndiye ametufikisha hapa tulipo. Magufuli ndiye alianzisha utekaji, uuaji, kukandamiza demokrasia na kutofuata utawala wa sheria.
Samia alipokuja akabasilisha mambo mengi including kuruhusu mikutano, kuwapa ruzuku CHADEMA, kuwarudisha akina Tundu na Godbless Lema waliokuwa ukimbizini kwa kuogopa Magufuli atawakamata. Kinyume chake alikuwa ni Tundu aliyeanza kuponda 4R ya Rais Samia bila kujali ubinadamu aliomfanyia including kumtembelea hospitalini.
Tundu hana shukrani maana hata Mbowe aliyenusuru maisha yake kwa kutafuta ndege ya kwenda kumtibia Nairobi bado alimnanga sana kwenye kampeni za 2025.
Sijutii kumuunga mkono Samia, nanliqe somo kwenu kuwa usiishi kwa kukariri
Hata hizo internet na kasimu unakotumia vinamilikiwa na mashogaKama na wewe ni shoga basi tumekuelewa endelea kufukuliwa mboji