Nchi tatu za Ulaya zinaongozwa na marais mashoga; hatuna cha kushauriwa nao

Nchi tatu za Ulaya zinaongozwa na marais mashoga; hatuna cha kushauriwa nao

Sizitaki mbichi hizi!
Kumbe muda wote serikali ilikuwa inapokea misaada kutoka kwa Mashoga?🤔🤔
 
Mkuu kama huoni athari za ushoga kwa tamaduni zetu za Kiafrika basi unahitaji tiba ya akili.
Hivi ulishawahi kutafuta chanzo cha ushoga kwa wataalam wa saikolojia? Jielimishe juu ya chanzo cha ushoga ndio ulaumu.
 
Wala sili keki yeyote. Magufuli ndiye ametufikisha hapa tulipo. Magufuli ndiye alianzisha utekaji, uuaji, kukandamiza demokrasia na kutofuata utawala wa sheria.

Samia alipokuja akabasilisha mambo mengi including kuruhusu mikutano, kuwapa ruzuku CHADEMA, kuwarudisha akina Tundu na Godbless Lema waliokuwa ukimbizini kwa kuogopa Magufuli atawakamata. Kinyume chake alikuwa ni Tundu aliyeanza kuponda 4R ya Rais Samia bila kujali ubinadamu aliomfanyia including kumtembelea hospitalini.
Tundu hana shukrani maana hata Mbowe aliyenusuru maisha yake kwa kutafuta ndege ya kwenda kumtibia Nairobi bado alimnanga sana kwenye kampeni za 2025.

Sijutii kumuunga mkono Samia, nanliqe somo kwenu kuwa usiishi kwa kukariri
Kwa hiyo ulitaka hao watu waliomsaidia lissu hata wakikosea wasisemwe kwa sababu ya kulipa fadhira? Maajabu haya
 
Kuna Kesi ngapi za watu wakitekwa wanaingiliwa kinyume na maumbile? Mfano Agatha na Boniface n.k. Embu niambie lengo huwa nini? Waje kuwa mashoga ama? Sasa hapo mnakua na tofauti gani na hao unaowasema hapa? Yaani mnahusudu Sana mambo ya kubaka wanaharakati alafu wakati huo huo mnajifanya kupinga ushoga. Kama sio unafiki ni nini?
Kama una uchungu sana dhidi ya Boniface na Agatha basi na wewe huna tofauti na Bunge la Ulaya. Tunesema hatuwezi kufundishwa au kukaguliwa na Bunge la mashoga.
 
Walikuwa wanaipeleka wapi? Mbona Gen Z wa Kenya walichoma hadi bunge ila Ruto akaamua kutumia diplomasia na maandamano yakaisha? Kwani naye alishindwa kuuwa maelfu mbele ya kamera?

Kwahiyo kwa kuua ndio automatically ile hasira ya wananchi imeisha?
Gen Z wa KENYA wana akili sana wala nyie msijilinganishe nao. Kuchoma Bunge ilikuwa ni sahihi lwa vile Bunge ndilo linatunga sheria mbovu dhidi ya wananchi.

Lakini Gen Z ya mabwege wa Tz anachoma Mwendokasi ambao ndiyo usafiri wetu tunao utegemea. Walichoma TRA, Polisi ma Mahakama. Sasa hiyo ni akili au kinyesi kwenye vichwa vyenu??
 
Sasa kama umeamua mwenyewe kumuunga mkono Samia kutokana na sababu zako, ni kwa nini unabweka, kufokea na kutukana watu hovyo humu jukwaani? Ni lazima kila mtu aufuate msimamo/mtazamo wako?
Ninamkabili mtoa hoja kwa namna anavyokuja. Akija kwa staha tunajibizana kwa staha, akija kwa matusi nami namwonyesha matusi zaidi.
 
View attachment 3587846

Hawa hawana lolote la kutufundisha au kutuamuru. Nchi tatu za Ulaya zina wakuu wa nchi ambao ni mashoga:- Netherlands, Latvia na Andorra. Wana matatizo makubwa na nchi zao msiwape huo umaarufu wa kuingilia mambo yetu. Hata hiyo misaada wanayotaka kukata, wasitishe tu ili tujifunze kujitegemea. European Parliament KWENDRAAAA...
Kinywa cha mzee kinatoa harufu mbaya ila kinatoa maneno yenye busara
 
View attachment 3587846

Hawa hawana lolote la kutufundisha au kutuamuru. Nchi tatu za Ulaya zina wakuu wa nchi ambao ni mashoga:- Netherlands, Latvia na Andorra. Wana matatizo makubwa na nchi zao msiwape huo umaarufu wa kuingilia mambo yetu. Hata hiyo misaada wanayotaka kukata, wasitishe tu ili tujifunze kujitegemea. European Parliament KWENDRAAAA...
Hakuna serikali duniani ambayo haina viongozi mashoga, ushoga ni tabia binafsi ya mtu kwahyo hauna point ya msingi usikute hata baadhi ya watu wakaribu unaowaheshimu pia wanapakuliwa ila haujui tu
 
Hata hizo internet na kasimu unakotumia vinamilikiwa na mashoga
Shoga Tim Cook ni CEO wa Apple, mimi natumia Samsung. Na kwenye tools za AI mimi situmiii za Open AI kama Chat GTP ambazo CEO wake Sam Altman ni gay pia. Mimi natumia Deepseek ya China na Gemini ya Google
 
Hivi ulishawahi kutafuta chanzo cha ushoga kwa wataalam wa saikolojia? Jielimishe juu ya chanzo cha ushoga ndio ulaumu.
Kuna asilimia kidogo ambao ni maumbile yao, lakini kuna wengi wamekuwa induced na tamaa ya fedha wanauza utu wao
 
Kwa hiyo ulitaka hao watu waliomsaidia lissu hata wakikosea wasisemwe kwa sababu ya kulipa fadhira? Maajabu haya
Binadamu aliye na akili sawa hawezi kumsaliti mtu aliyemsaidia kwa kiwango ambacho Tundu kasaidiwa. Binadamu tuliumbwa na uso wa soni. Kila ukikumbuka fadhila unasema mdomo koma
 
Kipindi cha magu huyu jamaa alitoa milio sana.

Sasa hivi anakula keki ya taifa ndio maana anaongea shombo.
Ngoja tusubiri mkuu ila wanaacha laana kwenye vizazi vyao watakuja waishi kwa taabu sana watoto wao
 
Hakuna serikali duniani ambayo haina viongozi mashoga, ushoga ni tabia binafsi ya mtu kwahyo hauna point ya msingi usikute hata baadhi ya watu wakaribu unaowaheshimu pia wanapakuliwa ila haujui tu
Kama unapakuliwa wewe hizo siyo shifa zetu, endelea tu. Ila sisi Tz tunes tumesema hatuwapi mashoga viza ya kuja kutuamulia mambo yetu
 
Shoga Tim Cook ni CEO wa Apple, mimi natumia Samsung. Na kwenye tools za AI mimi situmiii za Open AI kama Chat GTP ambazo CEO wake Sam Altman ni gay pia. Mimi natumia Deepseek ya China na Gemini ya Google
Silicon Valley is a gayest place on earth, any technology inaanzia pale, huwezi kuwakwepa labda utumie mawe na tende
 
View attachment 3587846

Hawa hawana lolote la kutufundisha au kutuamuru. Nchi tatu za Ulaya zina wakuu wa nchi ambao ni mashoga:- Netherlands, Latvia na Andorra. Wana matatizo makubwa na nchi zao msiwape huo umaarufu wa kuingilia mambo yetu. Hata hiyo misaada wanayotaka kukata, wasitishe tu ili tujifunze kujitegemea. European Parliament KWENDRAAAA...
Hizo ni nchi pendwa na Chadema
 
Kama unapakuliwa wewe hizo siyo shifa zetu, endelea tu. Ila sisi Tz tunes tumesema hatuwapi mashoga viza ya kuja kutuamulia mambo yetu
Unatumia nguvu nyingi sana hujui kuna katiba ya kitaifa na sheria za umoja wa mataifa. Mke ni wako na mtoto ni wako na hata uhai ni wako ila ukifanya jaribio la kujiua labda ufe ila ukipona unaweza kuchukuliwa hatua na ukafungwa. So shida siyo kwamba sisi ni taifa huru ndo tujiamulie tu tunavoweza.

Hivi unaelewa kwamba hata kuna baadhi ya miradi ya kitaifa kuitekeleza ni lazima taarifa ipelekwe kwenye mamlaka husika za kimataifa iasesiwe ndo iamuliwe kama itekelezwe au lah. Mfano mradi ambao una impact kubwa kwenye global environmental health ni lazima ufanyiwe international assessment na siyo taifa husika tu kujichukulia hatua. Imagine sasa kuhusu maisha ya raia
 
Wangeanza kumuondoa trump kwanza, kwa kuua maelfu ya wananchi wa iran
Elewa ile ni vita, ila kuteka na kuuwa watu hiyo siyo vita ingekuwa vita endapo kama na wananchi nao wangepewa uhuru wa kumiliki silaha na mamlaka ya kupambana dhidi ya upande wa pili ila ile inachukuliwa kama ukatili dhidi ya binadamu
 
Hakuna vita inayoruhusu wananchi wasio na hatia kuuwawa. Huo ni uhalifu wa kivita.
 
Back
Top Bottom