shokoshugi
JF-Expert Member
- Oct 13, 2015
- 333
- 565
Kwani huyu mkuu wetu naskia akipiga Tungi nae ana tabia za ki LGBTQ+ anakoboa vi binti vyetu (siri iliyomponza dada Ummy Mwalimu) ?
Sasa mnalawiti wanaharakati zaidi ya 100 alafu unakuja kulalamika kuhusu mashoga 2? Hivi hiyo ni akili kweli?Kama una uchungu sana dhidi ya Boniface na Agatha basi na wewe huna tofauti na Bunge la Ulaya. Tunesema hatuwezi kufundishwa au kukaguliwa na Bunge la mashoga.
Sio kweli walivunja supermarkets, maduka binafsi, ATMs na maeneo ya kiuchumi. Pia nyumba za viongozi wa serikali zilipigwa kiberiti.Gen Z wa KENYA wana akili sana wala nyie msijilinganishe nao. Kuchoma Bunge ilikuwa ni sahihi lwa vile Bunge ndilo linatunga sheria mbovu dhidi ya wananchi.
Si mlikua mmebinafsisha kwa mafisadi wenu? Hata hiyo mwendokasi haikuwa msaada wowote mabasi mpka mpigane, upitie dirishani n.k ndio tunautegemea? Get seriousLakini Gen Z ya mabwege wa Tz anachoma Mwendokasi ambao ndiyo usafiri wetu tunao utegemea
Wewe kunguni bwabwa 🚮 ukifukuliwa inatoshaKwani tayari umeshalawitiwa wewe pia?
Eid Amin alisaidiwa sana na Obote, ila alipoona obote anazingua akaamua kumuweka pembeni kwa faida ya wengi.Binadamu aliye na akili sawa hawezi kumsaliti mtu aliyemsaidia kwa kiwango ambacho Tundu kasaidiwa. Binadamu tuliumbwa na uso wa soni. Kila ukikumbuka fadhila unasema mdomo koma
Hao asilimia ndogo uliyoitambua wanaitwaje? Acha kujicontradict na kuulaumu ushoga kama kweli wapo waliozaliwa hivyo. Ushogaupo tangu kabla ya mitume, unalitambua hilo?Kuna asilimia kidogo ambao ni maumbile yao, lakini kuna wengi wamekuwa induced na tamaa ya fedha wanauza utu wao
Silicon Valley ni kitovu muhimu sana cha teknolojia duniani. Ina mazingira yanayokubali utofauti wa kijamii.Silicon Valley is a gayest place on earth, any technology inaanzia pale, huwezi kuwakwepa labda utumie mawe na tende
Mbona tumejenga Selous bwawa la Nyerere bila kujali kelele za wana mazingira wenu? Mbona hawajatufanya kitu. ??Unatumia nguvu nyingi sana hujui kuna katiba ya kitaifa na sheria za umoja wa mataifa. Mke ni wako na mtoto ni wako na hata uhai ni wako ila ukifanya jaribio la kujiua labda ufe ila ukipona unaweza kuchukuliwa hatua na ukafungwa. So shida siyo kwamba sisi ni taifa huru ndo tujiamulie tu tunavoweza.
Hivi unaelewa kwamba hata kuna baadhi ya miradi ya kitaifa kuitekeleza ni lazima taarifa ipelekwe kwenye mamlaka husika za kimataifa iasesiwe ndo iamuliwe kama itekelezwe au lah. Mfano mradi ambao una impact kubwa kwenye global environmental health ni lazima ufanyiwe international assessment na siyo taifa husika tu kujichukulia hatua. Imagine sasa kuhusu maisha ya raia
Hata tarehe 29/10 ilikuwa ni vita, mbona kulikuwa na vijana wanatembea na mabomu ya kienyeji "molotov" na ndiyo walikuwa wanalipua vituo vya mafuta. Ile ilikuwa ni vita piaElewa ile ni vita, ila kuteka na kuuwa watu hiyo siyo vita ingekuwa vita endapo kama na wananchi nao wangepewa uhuru wa kumiliki silaha na mamlaka ya kupambana dhidi ya upande wa pili ila ile inachukuliwa kama ukatili dhidi ya binadamu
Ni wawili tu ndiyo wamekiri kulawitiwa, hao 98+ umewatoa wapi?Sasa mnalawiti wanaharakati zaidi ya 100 alafu unakuja kulalamika kuhusu mashoga 2? Hivi hiyo ni akili kweli?
Kama mnapinga ushoga basi anzeni kukamata hao polisi wanaolawiti wanaharakati
Bado kiwango cha Gen Z wa Kenya kiko juu kuliko wa TanzaniaSio kweli walivunja supermarkets, maduka binafsi, ATMs na maeneo ya kiuchumi. Pia nyumba za viongozi wa serikali zilipigwa kiberiti.
Si mlikua mmebinafsisha kwa mafisadi wenu? Hata hiyo mwendokasi haikuwa msaada wowote mabasi mpka mpigane, upitie dirishani n.k ndio tunautegemea? Get serious
Halafu baada ya kumpindua Obote nini kilifuata? Hakutawala hata miaka 9Eid Amin alisaidiwa sana na Obote, ila alipoona obote anazingua akaamua kumuweka pembeni kwa faida ya wengi.
Na kweli waganda walifaidi kipindi cha uongoozi wa eid.
Imagine kama Uganda angeishinda vita Tanzania.
Leo hii, Uganda ingekua kubwa saba, mpaka peramiho huko kungekua sehemu ya Uganda.
Ushoga wa kujitangaza ndiyo ndiyo tunaupiga vita. Wewe kama ni shoga liwa kimya kimya, hatuna shidaHao asilimia ndogo uliyoitambua wanaitwaje? Acha kujicontradict na kuulaumu ushoga kama kweli wapo waliozaliwa hivyo. Ushogaupo tangu kabla ya mitume, unalitambua hilo?
Hivi mkuu, wafiraji siyo mashoga pia?Katika nchi zilizotajwq naisikiaga Netherland pekee. Siijui kiundani hata mji wake mkuu.
Kwahiyo tunawanyooshea mikono mashoga tunawakumbatia wauaji.
Wakati huohuo tunazitaka fedha zao
Hivi ninyi wafiraji siyo mashoga pia?View attachment 3587846
Hawa hawana lolote la kutufundisha au kutuamuru. Nchi tatu za Ulaya zina wakuu wa nchi ambao ni mashoga:- Netherlands, Latvia na Andorra. Wana matatizo makubwa na nchi zao msiwape huo umaarufu wa kuingilia mambo yetu. Hata hiyo misaada wanayotaka kukata, wasitishe tu ili tujifunze kujitegemea. European Parliament KWENDRAAAA...
Basi vita iendelee usipige keleleHata tarehe 29/10 ilikuwa ni vita, mbona kulikuwa na vijana wanatembea na mabomu ya kienyeji "molotov" na ndiyo walikuwa wanalipua vituo vya mafuta. Ile ilikuwa ni vita pia