ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,659
- 90,151
Piga chini hao kenge hakuna watakachotupangiaView attachment 3587846
Hawa hawana lolote la kutufundisha au kutuamuru. Nchi tatu za Ulaya zina wakuu wa nchi ambao ni mashoga:- Netherlands, Latvia na Andorra. Wana matatizo makubwa na nchi zao msiwape huo umaarufu wa kuingilia mambo yetu. Hata hiyo misaada wanayotaka kukata, wasitishe tu ili tujifunze kujitegemea. European Parliament KWENDRAAAA...