Sawa mkuu siku moja utaungana nasi , kila kitabu na zama zake japo najua wakati huo kwa aibu utabadili hadi IDView attachment 3587846
Hawa hawana lolote la kutufundisha au kutuamuru. Nchi tatu za Ulaya zina wakuu wa nchi ambao ni mashoga:- Netherlands, Latvia na Andorra. Wana matatizo makubwa na nchi zao msiwape huo umaarufu wa kuingilia mambo yetu. Hata hiyo misaada wanayotaka kukata, wasitishe tu ili tujifunze kujitegemea. European Parliament KWENDRAAAA...
Bora wawe mashoga lakini hawatoi uhai wa mtu kuliko hapa kwetu ni mashoga na wanaua raia kwa mamia ndani ya nchi yao wenyeweView attachment 3587846
Hawa hawana lolote la kutufundisha au kutuamuru. Nchi tatu za Ulaya zina wakuu wa nchi ambao ni mashoga:- Netherlands, Latvia na Andorra. Wana matatizo makubwa na nchi zao msiwape huo umaarufu wa kuingilia mambo yetu. Hata hiyo misaada wanayotaka kukata, wasitishe tu ili tujifunze kujitegemea. European Parliament KWENDRAAAA...
Mi nadhani sasa wapinzani mmeishiwa hoja kabisa, kuna wakati nyie ndiyo mnalalamika kuwa tunapokea misaada mpaka Nchi itauzwa halafu wakati huu mpo pamoja na E.U. Uliwahi kuona wapi hawa watu wakafanya jambo bila maslahi yao binafsi?Ally Kibao
Tundu Lissu
Sativa
Azory Gwanda
Humphrey PolePole
Mdude Nyagali
Shadrack Chaula
Manyumbu na nguchiro mnajifanya mnataka kuikomboa nchi ya Tz. Nyinyi ndiyo maadui wakubwa wa Tz, hampendi kuiona nchi ipo salama mnapenda wazungu waje waisambaratishe nchi sasa ndiyo kuipenda vipi nchi yenu? Mnahamsisha vurugu nchi iwe kama Sudan, DR Congo. Somali. Mnawashangilia wazungu waje kuivuruga nchi hamjui nchi ikivurugika haijengeki tena? Watakao pata tabu ni wananchi wote matatizo hayachagui chama watu wote watateseka. Sijui kinawapendeza nini nyinyi manyumbu? Kweili unyumbu ni janga, mtatubu tuSa
Sawa mkuu siku moja utaungana nasi , kila kitabu na zama zake japo najua wakati huo kwa aibu utabadili hadi ID
Wale wahalifu wa Oktoba 29 waliokuwa wanachoma miundombinu walistahili walichopata. Bila risasi wale walikuwa wanaipeleka nchi yetu pabayaBora wawe mashoga lakini hawatoi uhai wa mtu kuliko hapa kwetu ni mashoga na wanaua raia kwa mamia ndani ya nchi yao wenyewe
Wale wahalifu wa Oktoba 29 waliokuwa wanachoma miundombinu walistahili walichopata. Bila risasi wale walikuwa wanaipeleka nchi yetu pabayaBora shoga atajuana na Mungu wake siku ya hukumu kuliko muuaji anayeua watu wasio na hatia.
NB usikute na Tanzania nayo iko kwenye hiyo category unayosema.