Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 8,870
- 14,258
Kwa mara nyengine nchi za kiarabu ambazo zina udugu wa damu na kiimani na wapalestina wamekutana mjini Dubai na kutoa maneno yale yale ambayo wameshayasema mara nyingi.
Safari hii wamekutana katika wakati mgumu kuliko miaka yote tangu mzozo baina yao na Israel uanze. Katika hali hiyo wametoa matamko mepesi yasiyopelekea kutoa suluhisho lolote kwa ndugu zao hao wa kipalestina.
Mawaziri wa nchi za nje wa nchi za United Arab Emirates, Jordan, Bahrain, Saudi Arabia, Oman, Qatar, Kuwait, Egypt and Morocco wamekutana huko Dubai na kulaani uvunjaji wa haki za binadamu unaofanywa na Israel kwa raid wa Gaza kwa namna inavyowaporomoshea mabamu kutoka angani na kuwauwa.
Pamoja na tamko hilo walitoa tamko jengine linalofanana na lile alitotoa katibu mkuu wa UN,Antonio Guteres kuwa shambulio la Hamas halihalalishi kuvunjwa kwa haki za wapalestina.

Arab countries condemn 'flagrant violations' in targeting civilians in Gaza