Nchi tisa zinazomiliki silaha za nyuklia duniani pamoja na idadi

Mi nilitamani south korea wawe nazo ili wahimili vishindo vya North Korea
 

Swadakta. Umenena mkuu. Einstein na wenzake ambao walikua ni fundamental ktk nuclear physics walikimbia ujerumani na kwenda usa
 
Vijana wetu mara kadhaa wanakamatwa wakiwa na mabomu ya kienyeji, wakipata uranium wanaweza wakaunda vyombo zaidi ila ndiyo hivyo tena hatujazoea kubuni tumezoea kununua.
Kutengeneza mabomu ya molotov km watanzania wanavyofanya si rahisi km kutengeneza atomic bom.
 
Duhh German na kuwa super economy ulaya hana? Japan pia hana? Au hii list sio yote?
Tangu waliposhindwa Vita Kuu ya Pili ya Dunia Ujerumani na Japani hawaruhusiwi kuwa na silaha nzito kama za nuklia.
 
Asante mkuu
 
Vp khusu Italy?
 
North Korea na mbwembwe zake wanamiliki silaha 8 za Nyukilia ? Source ya habari ni nini ? Halafu siri za majeshi yao si wanaficha ?
Usiangalie mbwembwe je si wapo kwenye list?tena top 10 usidharau
 
Tatizo lako ni kujifanya kwamba hujui kuwa siri kamwe haiweze ikakwa ni habari ya halaiki kama hii tuisomayo hapa.

Na washawasha!




Tatizo la Watanzania ni hili....

Unapingaje habari bila ya kuwa na mbadala wa habari.....

Kwa wenye akili maana yake habari ya uongo inazimwa na hanari ya ukweli.....
 
Tangu waliposhindwa Vita Kuu ya Pili ya Dunia Ujerumani na Japani hawaruhusiwi kuwa na silaha nzito kama za nuklia.
sikwamba hawaruhusiwi but walijikataza wenyew ili kusafisha image zao chafu..japan walishasema km wakihitaj nuclear basi itawachukua c zaid ya mwaka mmoja kutengeneza kwakuwa wanakila kitu kinachohitajika ikiwemo teknoljia........
 
Nimesikia Malawi nae anazalisha nyuklia mbona hayupo kwenye orodha?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…