Kilemakyaaro
JF-Expert Member
- Jul 19, 2016
- 5,051
- 5,104
Huwa sielewi kuhusu Pakistan,ina kitu gani special mpaka wamiliki hiyo mikitu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Cuba hana, ila miaka ya 1960's USSR aliyapeleka kwa ajili ya USA lkn baada ya mazungumzo ya kina USSR aliya dismantle na kuyarudisha USSRHata mcuba anayo nashangaa kwa nini hajaiweka hapo
Hana huo ujuzi wa kutengeneza nyuklia, muislael hawezi kumuachaIran hana bomu la nyuklia ila alikua anataka kutengeneza akawekewa vikwazo akishindwa kutengeneza
Nahis wingi wa watu, na mpinzani wake PakistaniHuwa sielewi kuhusu Pakistan,ina kitu gani special mpaka wamiliki hiyo mikitu
Haha Pakistan wanao wanasayansi.Huwa sielewi kuhusu Pakistan,ina kitu gani special mpaka wamiliki hiyo mikitu
Ahsante Mkuu kwa kunifundisha mimi nikisikia kina Taleban wanazingua na mapigano yasioisha huwa najua nao ni moja ya vinchi masikini sana kumbe wapo ulimwengu wa kwanza...Shkamoo PakistanHaha Pakistan wanao wanasayansi.
Wamewekeza kwenye sayansi&technology kitambo sana kabla ya Tanzania haijapata Uhuru ...wana professors hatari sana wa nuclear nk
Pakistan wanamiliki silaha za nuclear kati ya 100-120 ,pia Pakistan wana High enriched uranium ambayo ina uwezo wa kutengeneza warheads 10-15 kwa mwaka na bado wana stockpile pia wana stockpile ya 190kg ya weapons grade plutonium yenye uwezo wa kutengeneza 12 -24 kwa mwaka ,na wana fissile material"material inayotumika kuvunja atom" yenye uwezo wa kuhimili zaidi ya silaha 200
Historia
Pakistan walianza kutengeneza silaha za nuclear sababu kubwa ni ugomvi wao na India ,wamekuwa na mgogoro kwa muda mrefu sabb kubwa ni majimbo ya Kashmir na Jammu wanayagombania ..
Pakistan walianza program ya kutengeneza silaha za nuclear 1950 na mwaka 1956 waliunda (PAEC) Pakistan Atomic Energy commission ,rais wa wakati huo Z.A Bhutto alisema
"Endapo India wakitengeneza Bomb ,Tutakula nyasi tutakaa njaa lakini lazima na sisi tutengeneze zetu.
Mwaka 1971 rais huyo aliamuru silaha za nuclear zitengenezwe ndani ya miaka 3 na tayari PAEC walikuwa wanafanya kazi yao kudevelop silaha
Munir Ahmad Khan kiongozi wa PAEC ndiye alikuwa anaingoza task force yake kudevelop plutonium kwenda kwenye nucleur weapon na power plant ilikuwa Karachi
Khan alisaidia sana mpaka nchi yake ilitengeneza nucleur ,na huyu khan na timu yake walifanikisha kutengeneza silaha za nuclear mwaka 1984
Huyu khan baadae alitaka ahamishe teknolojia yake awasaidie iran, North Korea
11 na 13 may 1998 India walifanya majaribio 5 ya nucleur .Pakistan wakalipiza kwa kufanya majaribio 6 tarehe 28 may na 30 may 1998...
Pakistan bado wana uwezo wa kutengeneza kwa mwaka silaha kibao za kinucleur lakini saizi wanazuiliwa na mkataba wa NPT na CTBT
Siyo hivyo tu Pakistan wame launch satellite angani.
BADR -1990 (low earth satellite )
PAKSAT -2011(geo stationary ,telecommunications satellite)
Icube-2013 (Earth imaging cubesat)
Pakistan wapo vizuri wamewekeza kwenye science&technology kitambo sana ,India ndio wameifanya Pakistan wawe active kwenye masuala ya teknolojia
Ulidhania Pakistan legelege
Baki na hoja za kufikirika hivyo hivyo ww unamjua Mungu au umeaminishwa mpaka ukalewa bila uhakikaShetani na wafuasi wake watu wa Mungu wanagundua Upendo, Amani, Utu wema Fadhili na mengine yanafananayo na hayo.
Duniani mapepo nayo yapo naamini nawe ni mmoja wao ushindwe na ulegeeBaki na hoja za kufikirika hivyo hivyo ww unamjua Mungu au umeaminishwa mpaka ukalewa bila uhakika
Uandaaji wa makombora missiles haihusiana na hoja yako hiyo mbovu nenda ukawe mtumikiaji kanisani lakini mambo ya majeshi achia wanaohusika.Duniani mapepo nayo yapo naamini nawe ni mmoja wao ushindwe na ulegee
NCHI TISA ZINAZOMILIKI SILAHA ZA NYUKLIA DUNIANI PAMOJA NA IDADI [emoji123] [emoji123]
Na Thabit Karim Muqbell
Kufikia mwaka 1986 idadi ya silaha za Nyuklia zilifikia 70,300. USA na USSR pekee walikua wakimiliki zaidi ya silaha 68,000. idadi hii imepungua na kufikia 15,350 kwa mwaka 2016 huku zaidi ya 14,000 zikimilikiwa na Russia na USA.
Kupungua huko kumetokana na mikataba kadhaa ya kutokomeza silaha za Nyuklia km SALT 1 na SALT 2 pamoja na kuisha kwa Vita baridi miaka ya 1990. Kwa sasa Russia ndio anayeongoza huku North Korea ikiwa n nchi ya mwisho. Listi iko hivi [emoji116][emoji116]
1. Russia (7500)
2. Unites States (7260)
3. France (300)
4. China (260)
5. United Kingdom (215)
6. Pakistan (120)
7. India (100)
8. Israel (80)
9. North Korea (8)![]()
sasa north Korea .mbona anavyo vi8 tu.marekani wanalialia sana.au zake za Masafa marefuNCHI TISA ZINAZOMILIKI SILAHA ZA NYUKLIA DUNIANI PAMOJA NA IDADI [emoji123] [emoji123]
Na Thabit Karim Muqbell
Kufikia mwaka 1986 idadi ya silaha za Nyuklia zilifikia 70,300. USA na USSR pekee walikua wakimiliki zaidi ya silaha 68,000. idadi hii imepungua na kufikia 15,350 kwa mwaka 2016 huku zaidi ya 14,000 zikimilikiwa na Russia na USA.
Kupungua huko kumetokana na mikataba kadhaa ya kutokomeza silaha za Nyuklia km SALT 1 na SALT 2 pamoja na kuisha kwa Vita baridi miaka ya 1990. Kwa sasa Russia ndio anayeongoza huku North Korea ikiwa n nchi ya mwisho. Listi iko hivi [emoji116][emoji116]
1. Russia (7500)
2. Unites States (7260)
3. France (300)
4. China (260)
5. United Kingdom (215)
6. Pakistan (120)
7. India (100)
8. Israel (80)
9. North Korea (8)![]()
Albert EinsteinHivi nani aliyegundua hizi silaa?
Siyo story ya gahawa na hicho kitu chenye matair kama jongoo ni cha Mrussi kinaitwa ICBM yaani Intercontinental Ballistic Missle Nuclear ambayo ni mobile inauwezo wa kupiga sehem yoyote dunian, google ICBM ucheki ni hatareeeeWeka link tusome usilete stories za gahawa
Taliban wanapatikana Afghanistan.Ahsante Mkuu kwa kunifundisha mimi nikisikia kina Taleban wanazingua na mapigano yasioisha huwa najua nao ni moja ya vinchi masikini sana kumbe wapo ulimwengu wa kwanza...Shkamoo Pakistan