Nchi tisa zinazomiliki silaha za nyuklia duniani pamoja na idadi

Duhh German na kuwa super economy ulaya hana? Japan pia hana? Au hii list sio yote?
yan hao wakiwa nazo huu ulimwengu utakuwa chini yao maana ni hatari sana kwa vita nchi hz c unakumbuka WW2 ujeruman akiitandika ulaya kisawasawa huku japan akiishughulikia asia yote vilivo
 
North Korea na mbwembwe zake wanamiliki silaha 8 za Nyukilia ? Source ya habari ni nini ? Halafu siri za majeshi yao si wanaficha ?
Tatizo ni gharama ya kuitengeneza na kuihifadhi,,
 
kwa hiyo india na pakistan ni mafundi kuliko ujeruman kitecnolojia?
 
Tatizo ni gharama ya kuitengeneza na kuihifadhi,,
Pia vikwazo vya kiuchumi tokea 1990 mpaka Leo wamewekewa ,na Nk hapokei msaada kwa nchi yeyote ile

Jeshi la mtu mmoja
 
List fake hii, mnyama Japan na Ujeruman hawamo halaf North korea yumo? [emoji45]
 
Ujerumani wanayo teknolojia na wapo juu wanatengeneza silaha mbali mbali ,ndege,magari,meli nk..wanayo nuclear plant lakini ni kwaajili ya umeme tu,uwezo wa kutengeneza silaha za nuclear wanayo lkn wanazuiwa na mkataba..kilichowafanya wasiwe na silaha za nuclear ni Hitler hakuwa na ushirikiano na wanasayansi ,na wanasayansi walimkimbia lakini India&Pakistan serikali ilikuwa inawajali wanasayansi wao

Mfano mwanasayansi wao Dr.Abdul kalam "Mr missile Man" ndio alifanikisha 1998 wajaribishe Mara 5 nucleur na serikali ilikuwa bega kwa bega na wanasayansi


Pakistan nao mara baada ya kuwaona majirani wao wanatengeneza silaha wakaona njia sahihi ya kujilinda ni kumiliki nuclear tu.

Rais wao alitoa ushirikiano ndio maana wanasayansi wao wakaweza kutengeneza nucleur

Kwa mtizamo wangu Ujerumani wapo juu sababu teknolojia siyo kutengeneza nucleur tu..ujerumani kuna viwanda vingi
kwa hiyo india na pakistan ni mafundi kuliko ujeruman kitecnolojia?
 
Sasa hizo silaha ndo zinaiweka dunia kuwa salama mbona kama garama yake ni kubwa sana kazi yake ni nini hasa?
 
umesema hesabu imeshuka kutoka 68,000 hadi 15,350 kwa mwaka 2016

ila
ukijumlisha
7500 Russia
7260 US
300 France
260 China
215 UK
120 Pakistan
100 India
80 Israel
8 North korea
15843 Jumla

hiyo hesabu imekaaje?
"Mkuu angalia vizuri hapo"
 
Tanzania tunamiliki Tanzanite, wache wawe na nyuklia nchi mbalimbali Tz wana tanzanite peke yaoo
 
Eti marekani inamtegemea israel..... angalia gape la nyuklia ilo aaaah aaaah aaah
USA kila mwaka anampa $3.5 Billion Israel kwaajili ya kijeshi na pia anampa zaidi ya $Billion 5 kwaajili ya kiuchumi na juzi kampa f-35 Israel

Sasa kivipi USA amtegemee Israel ..wanaosema hivyo hawaelewi dunia inavyokwenda
 
USA kila mwaka anampa $3.5 Billion Israel kwaajili ya kijeshi na pia anampa zaidi ya $Billion 5 kwaajili ya kiuchumi na juzi kampa f-35 Israel

Sasa kivipi USA amtegemee Israel ..wanaosema hivyo hawaelewi dunia inavyokwenda
Wapumbavu.... wana story za miaka iyo... oooh lile taifa teule... mara wana akili saana... mara cjui wataalamu wooote wa technology wanatoka israel.....

Uchafu mtupu
 
Ahsante Mkuu kwa kunifundisha mimi nikisikia kina Taleban wanazingua na mapigano yasioisha huwa najua nao ni moja ya vinchi masikini sana kumbe wapo ulimwengu wa kwanza...Shkamoo Pakistan

Kiongozi usichanganye kati ya Pakistan na Afghanistan. Ni nchi mbili tofauti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…