Nchi tisa zinazomiliki silaha za nyuklia duniani pamoja na idadi

Siyo story ya gahawa na hicho kitu chenye matair kama jongoo ni cha Mrussi kinaitwa ICBM yaani Intercontinental Ballistic Missle Nuclear ambayo ni mobile inauwezo wa kupiga sehem yoyote dunian, google ICBM ucheki ni hatareeee
Watu km hao ni kuwatizama tu kaka. Tuna safari ndefu sana. Watz hatuaminiani. Kila kitu unachoondaka watu wanafikiri unapotosha. So sad
 
Germany, South Korea, Japan na Iran wana kila kitu kwa ajili ya nuclear weapons lkn ama wamekaa low profile au hawajaamua kwa sasa lkn wanaweza kwa mujibu wa Japan wakiona wanahitaji itawachukua si zaid ya miezi sita.Japan na Germany wana mikataba na USA kuwalinda in case of nuclear war kwa hio wanabakia na imani kwa kulindwa.na hao vidume wengine labda wanaona wanao moto mbaya zaid au ndio low profile, ukijipendekeza kazi kwako
 
Israel amepelekewa nuclear bombs kama vile zilivyoletwa Bombardier ila wao ni bure kutoka USA lkn Tz tumetoa cash
 
Cha ajabu hako kamwosho kwnye list ndio kana mbwembwe kishenz kwa wakubwa zake.
 
Japan, Germany, Italy, South Korea, Argentina, Brazil, Mexico, Canada, Australia, New Zealand, Turkey, Spain, Belgium, Norway, Sweden hawa wote wanazo za kutosha kiasi ila wamenyamaza kimya. Wote wana Nucleu Plant na Nucleua fussion factory.
 
Japan, Germany, Italy, South Korea, Argentina, Brazil, Mexico, Canada, Australia, New Zealand, Turkey, Spain, Belgium, Norway, Sweden hawa wote wanazo za kutosha kiasi ila wamenyamaza kimya. Wote wana Nucleu Plant na Nucleua fussion factory.
Sio kweli. Hao uliowataja pengine wana vinu vya nyuklia kwa ajili ya kufua umeme na kwa matibabu au tafiti mbalimbali lkn si kwa silaha za nyuklia
 
Nimeshangaa, na Mimi.huwenda taarifa siyo sahihi
Hana mpaka sasa japo amesharutubisha uranium ya kutosha kutengeneza mabomu kama akiamua. Yeye mwenyewe anadai ni kwa ajili ya kuzalisha umeme unaotokana na nguvu za nyuklia!
 
Duhh German na kuwa super economy ulaya hana? Japan pia hana? Au hii list sio yote?
Ujerumani na Japan walizuiwa chini ya mkataba wa amani baada ya vita kuu ya pili. Ni mataifa mawili yaliyokuwa makorofi sana lakini walishindwa na kusalimu amri!
 
North Korea na mbwembwe zake wanamiliki silaha 8 za Nyukilia ? Source ya habari ni nini ? Halafu siri za majeshi yao si wanaficha ?
Hizi 8 zao inawezekana zinatisha sana kuliko hizo 7,000 zao, that's why akitest moja wengine wote wanapata hofu.
 
Mkuu siamini kama Israel inaweza kuzidiwa na pakistan.

Check tena your source of information
 
Shetani na wafuasi wake watu wa Mungu wanagundua Upendo, Amani, Utu wema Fadhili na mengine yanafananayo na hayo.
Mkuu shetani hakugundua siraha za nyukilia...muasisi mambo hayo ni Sir Isac Newton akifuatiwa na Sir Elbert Instein
 
Ujerumani na Japan walizuiwa chini ya mkataba wa amani baada ya vita kuu ya pili. Ni mataifa mawili yaliyokuwa makorofi sana lakini walishindwa na kusalimu amri!
sio kwamba zinazuiwa na mikataba ya amani, na hakuna wa kuwazuia kutengeneza hizo silaha sema tu wao wameamua kuacha kutengeneza ili kuondoa taswira waliyokuwa nayo kuwa wenyewe ni watu wa vita tu maana ww1/ww2 walianzisha wao yaan kifupi hawa wakipigana vita wanapigana na dunia nzima
 
Tanganyika sio nchi? Au kwasababu tunatumia maji ya washawasha..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…