Faraja vitalis
Member
- Mar 24, 2020
- 44
- 89
Habari zenu wana JF. Ingawa mimi ni Mtanzania ila ni mpenzi haswa wa vitimbi vya kisiasa vinavyoendelea nchini Kenya nilianza kuwa mfuatiliaji soon after Handshake ya Uhuru na Odinga.
Ingawa sikuwa mfuatiliaji kwa kitambo nimeanza kufuatilia baada ya kuanza kwa BBI. Lengo hasa la hii thread ni kujuzwa kuhusiana na tafsiri ya matukio yanayotokea Kenya kama hii ya "Nchi ya ahadi", tangatanga v kieleweke, reggae.
Karibuni sana.