ownership of the company was split between Kenya (67.7%), Uganda (22.6%), Tanganyika (9%) and Zanzibar (0.7%).Kwa nini jedwali (table) yako imeanzia mwaka 1970? Miaka zaidi ya 20 baada ya Uhuru? Isitoshe usibishe kwamba EAT Airways ndiyo Kenya Airways, ambayo ilianzishwa na Mzungu mwaka 1946 baada ya muungano kufa Kenya walikamata mali zote, kwa kuwa Makao makuu ya East African Airways yalikuwa Nairobi Kenya walizuia ndege zote kuruka, na kuzigeuza Kenya Airways!
ju kenya walichangia pesa nyingi zaidiKwa nini Kenya 68% dhidi ya TZ 10%?
ni sawa tu na vile businesses huworkKwa nini Kenya 68% dhidi ya TZ 10%?
Wewe jamaa una laana ya ukoo inakutesa siyo bure.
Yaani unashabikia upumbavu unaofanyika ndani ya nchi yako Tanzania chini ya ccm aka green devils halafu unavuka mpaka na kuivaa Kenya, kweli wewe ni chizi.
Hivi unaijua Kenya vizuri wewe au umeamua kuropoka tu, wakati unasema Kenya itabakia hapo hapo ilipo wakati huo Tanzania itakuwa wapi chini ya green devils?
Uchumi Wa Kenya ni mzuri mno na kila Siku unapaa tu, wakenya siyo vichwa Kama wewe na wajinga wenzako.
Kenya ni taifa la viwanda East Africa.
pesa yao ina thamani kubwa, mzunguko wa pesa ni mzuri mno Kenya.
Rais wao haongozi nchi Kwa visasi na chuki, hana muda na wapinzani anaijenga Kenya.
Kuna mbunge wa upinzani alimtukana rais Kenyatta matusi ya nguoni lakini hakuguswa, Kwa hekima kabisa Kenyatta alisema "Unapokuwa Baba wa familia na una watoto wengi ni kawaida Sana wengine kuacha kukuheshimu, namtakia heri ya mwaka mpya "
Hapa watu wakisema tu kuna njaa basi ni kuwekwa selo.
Unakera Sana mjinga wewe, yaani nchi yako Tanzania inakufa halafu unairukia Kenya?
Kenya ni mziki mwingine kabisa kiuchumi East Africa boya wewe.
CCM imeua viwanda 495 tangu Uhuru hadi leo, kaa kimya achana na Kenya wewe.
Hao hawawezi kujirekebisha unless warekebishwe.Kweli, hawa viongozi wetu waliochaguliwa ndio vikwazo vikuu kwa maendeleo mashinani. Wasipojirekebisha....well.
Hii nchi iitwayo Kenya haiwezi kuja kuendelea hata siku moja, itabakia kuzunguka hapo hapo ilipo tu na hakuna kwenda mbele, na hii ni kwa sababu ya mazingira ya nchi hiyo na watu wake hayaruhusu nchi hiyo kuendelea!
Nimesikia Kenya ina Wabunge zaidi ya 400, Maseneta wa idadi hiyo hiyo, halafu kuna Magavana na Madiwani pia na wote hawa wanataka kutajirikia Serikalini, wanataka Mishahara minono, Gari, Pension, Mtibabu n.k. WTF?
MPs reject Sh11 million gratuity, team formed to negotiate more cash
Baada ya Uhuru na kupewa umiliki wa EA airways, zile ndege tulizoachiwa zilikua zishazeeka, tena kampuni yenyewe ilikua na madeni, EAC ilibidi ianze kununua ndege mpya mpya na ianze kuwekeza pesa kwa ikarabati wa majengo, lakini tanzania ilishindwa kuchanga pesa za kununua ndege mpya mpya...Uganda pia ilitoa pesa kidogo kulipa madeni, Kenya ndo ilikua inalipia hizo pesa zote. kwahivyo kama nilivo sema pale mwanzo, EAA iligawanywa kibiashara kulingana na waliochangia, kwavile nyinyi hamkuchangia kulipa mishahara na madeni, mlipata mchango wenu baada ua kuongeza hesabu ya deni, kwavile hamkuweza kulipa deni na pesa, kenya ilikata kulingana na worth ya ndege zilizokua hapo 1977Kwa nini Kenya 68% dhidi ya TZ 10%?
Kwa nini jedwali (table) yako imeanzia mwaka 1970? Miaka zaidi ya 20 baada ya Uhuru? Isitoshe usibishe kwamba EAT Airways ndiyo Kenya Airways, ambayo ilianzishwa na Mzungu mwaka 1946 baada ya muungano kufa Kenya walikamata mali zote, kwa kuwa Makao makuu ya East African Airways yalikuwa Nairobi Kenya walizuia ndege zote kuruka, na kuzigeuza Kenya Airways!
Smh sasa hata patnership haujui??Kwa nini Kenya 68% dhidi ya TZ 10%?
Wewe mrundi wachana na watanzania Rudi burundu Uzingue wa rundi wenzakoVituko mpumbavu kutaka kumjua mpumbavu!!
Wewe mrundi wachana na watanzania Rudi burundu Uzingue wa rundi wenzako
Khaaaa!!Mzee wa nongwa vipi, leo naona umejitutumua sijui umekunywa nini. Nakubaliana na hilo la viongozi kupenda kutufyonza, na hii ni kawaida kwa viongozi wa nchi nyingi. Ni kwamba hao wa Tanzania hawajapata fursa lakini kila wakipata nafasi huwa naona wanavyo wanyonya, Ni kama juzi tu wale wa CCM waligawana mamilioni hela za walipa kodi.
Lakini nakukatalia kwenye suala la kusema hatuwezi kuendelea, Kenya inaendelea maana ni nchi ya wachapa kazi na ndio maana unaona bila raslimali, na pia ardhi ndogo ambayo nusu yake kame tunaizidi Tanzania yenye kila kitu. Tunawazidi kiuchumi, kielimu na mambo yote kwa sababu tunajituma balaa. Wabunge na viongozi wengi wanatufyonza lakini bado tunatawala na kuendelea maana hatukati tamaa.