Nchi ya Kenya haiwezi kuja kuendelea!

Nchi ya Kenya haiwezi kuja kuendelea!

Kwa nini jedwali (table) yako imeanzia mwaka 1970? Miaka zaidi ya 20 baada ya Uhuru? Isitoshe usibishe kwamba EAT Airways ndiyo Kenya Airways, ambayo ilianzishwa na Mzungu mwaka 1946 baada ya muungano kufa Kenya walikamata mali zote, kwa kuwa Makao makuu ya East African Airways yalikuwa Nairobi Kenya walizuia ndege zote kuruka, na kuzigeuza Kenya Airways!
ownership of the company was split between Kenya (67.7%), Uganda (22.6%), Tanganyika (9%) and Zanzibar (0.7%).
 
ju kenya walichangia pesa nyingi zaidi


Kenya ipi iliyochangia pesa nyingi zaidi wakati East African Airways ilianzishwa mwaka 1946 na Wazungu? Sema Mzungu alichangia pesa nyingi zaidi lkn siyo Wakenya!
 
Wewe jamaa una laana ya ukoo inakutesa siyo bure.
Yaani unashabikia upumbavu unaofanyika ndani ya nchi yako Tanzania chini ya ccm aka green devils halafu unavuka mpaka na kuivaa Kenya, kweli wewe ni chizi.
Hivi unaijua Kenya vizuri wewe au umeamua kuropoka tu, wakati unasema Kenya itabakia hapo hapo ilipo wakati huo Tanzania itakuwa wapi chini ya green devils?
Uchumi Wa Kenya ni mzuri mno na kila Siku unapaa tu, wakenya siyo vichwa Kama wewe na wajinga wenzako.
Kenya ni taifa la viwanda East Africa.
pesa yao ina thamani kubwa, mzunguko wa pesa ni mzuri mno Kenya.
Rais wao haongozi nchi Kwa visasi na chuki, hana muda na wapinzani anaijenga Kenya.
Kuna mbunge wa upinzani alimtukana rais Kenyatta matusi ya nguoni lakini hakuguswa, Kwa hekima kabisa Kenyatta alisema "Unapokuwa Baba wa familia na una watoto wengi ni kawaida Sana wengine kuacha kukuheshimu, namtakia heri ya mwaka mpya "
Hapa watu wakisema tu kuna njaa basi ni kuwekwa selo.
Unakera Sana mjinga wewe, yaani nchi yako Tanzania inakufa halafu unairukia Kenya?
Kenya ni mziki mwingine kabisa kiuchumi East Africa boya wewe.
CCM imeua viwanda 495 tangu Uhuru hadi leo, kaa kimya achana na Kenya wewe.


Vituko mpumbavu kutaka kumjua mpumbavu!!
 
Kweli, hawa viongozi wetu waliochaguliwa ndio vikwazo vikuu kwa maendeleo mashinani. Wasipojirekebisha....well.
Hao hawawezi kujirekebisha unless warekebishwe.
But nani atawarekebisha? It is you Kenyans,
Kenya Must become Kenya for Kenyans...
Like tzn need to remove the roots of incompetent ccm in the administration system, only to be done at a right time (when we find a perfect replacement)
U Kenyans need to Ban your corrupt Noblemen and exile them from the system.
You have to eliminate any remaining raila & Uhuruto things permanently..
Hapo tutasonga.
 
Hii nchi iitwayo Kenya haiwezi kuja kuendelea hata siku moja, itabakia kuzunguka hapo hapo ilipo tu na hakuna kwenda mbele, na hii ni kwa sababu ya mazingira ya nchi hiyo na watu wake hayaruhusu nchi hiyo kuendelea!
Nimesikia Kenya ina Wabunge zaidi ya 400, Maseneta wa idadi hiyo hiyo, halafu kuna Magavana na Madiwani pia na wote hawa wanataka kutajirikia Serikalini, wanataka Mishahara minono, Gari, Pension, Mtibabu n.k. WTF?


MPs reject Sh11 million gratuity, team formed to negotiate more cash
  1. hapa ndipo maendeleo yamefika tz
    c5453cea7760fa70e41389ebddc644e9.jpg
    b663a375624c7d6db96a4cec3598f8e5.jpg
    43bff4c835d1644a08172c6a53c2a36a.jpg
    55e43974945e53250cb001b93a6718ab.jpg
    0713321008f836d4ddf51d2b7e9065e1.jpg
    60fd92fd171edce52e6573f410b18c9a.jpg
    1a5f5ed22660da08d7bec4fba7cb0c38.jpg
    a4851774bc98476a24864d4b477f0208.jpg
  2. Ongoing works at the Kangundo road junction and railway crossing overpass. Thika road bound lanes are now almost complete with the last sections getting tarmac. The Taj Mall bound lanes are also moving fast.
    1. At the railway crossing, all eight lanes are raised.

      The photos below are arranged in order as you approach from Taj Mall side towards Thika road.

      32778345875_be07bf994c_b.jpg


      31935184894_6617fc42d4_b.jpg


      32737577756_5a039bb43e_b.jpg


      32654860811_6bbe77ecc7_b.jpg


      31935177894_83bf8b50bf_b.jpg


      32778335625_0ac1e1b77d_b.jpg


      32624992932_14b2b3ba52_b.jpg


      32778353115_abde431522_b.jpg



      Below: The tarmacked section between Mutindwa and Kangundo road.

      31935192044_d865d0995d_b.jpg

      __________________

      Report
      Like- 1 people like+ QuoteReply
    2. E
      Edward WanjalaJF-Expert Member
      [HASHTAG]#867[/HASHTAG]
      Today at 8:22 AM

      Joined: Nov 3, 2016
      Messages: 1,526

      Likes Received: 932

      Trophy Points: 280
      32778353115_abde431522_b.jpg
      Looking at this road, i wonder what the final project will look like, are some sections having all the 12 lanes elevated??

 
Kwa nini Kenya 68% dhidi ya TZ 10%?
Baada ya Uhuru na kupewa umiliki wa EA airways, zile ndege tulizoachiwa zilikua zishazeeka, tena kampuni yenyewe ilikua na madeni, EAC ilibidi ianze kununua ndege mpya mpya na ianze kuwekeza pesa kwa ikarabati wa majengo, lakini tanzania ilishindwa kuchanga pesa za kununua ndege mpya mpya...Uganda pia ilitoa pesa kidogo kulipa madeni, Kenya ndo ilikua inalipia hizo pesa zote. kwahivyo kama nilivo sema pale mwanzo, EAA iligawanywa kibiashara kulingana na waliochangia, kwavile nyinyi hamkuchangia kulipa mishahara na madeni, mlipata mchango wenu baada ua kuongeza hesabu ya deni, kwavile hamkuweza kulipa deni na pesa, kenya ilikata kulingana na worth ya ndege zilizokua hapo 1977



----
the three countries that ran the airline. Financial difficulties deepened when both Tanzania and Uganda struggled to pay their outstanding debts for the operations of the airline, or directly missed them. EAA operations came to a total halt in January 1977.
The airline had incurred in a debt of
US$120,000,000 (equivalent to $474,266,886 in 2016) when it went into liquidation in February 1977, with the Kenyan government being one of the major creditors.Both Kenya and Uganand had established their own national airlines before the folding of the corporation:
Kenya Airways and Uganda Airlines were formed in 1977 and 1976, respectively. Tanzania followed in April 1977, forming Air Tanzania.
 
Kwa nini jedwali (table) yako imeanzia mwaka 1970? Miaka zaidi ya 20 baada ya Uhuru? Isitoshe usibishe kwamba EAT Airways ndiyo Kenya Airways, ambayo ilianzishwa na Mzungu mwaka 1946 baada ya muungano kufa Kenya walikamata mali zote, kwa kuwa Makao makuu ya East African Airways yalikuwa Nairobi Kenya walizuia ndege zote kuruka, na kuzigeuza Kenya Airways!

Huko nyuma haijalishi, chochote kilichofanyika kabla ya 1970 kwa uchumi zetu kilifanyika, cha muhimu ni kwamba mwaka wa 70, miaka kumi baada ya kupata uhuru, uchimi zetu zilikua sawa, kutokea hapo, mmekua na miaka 46 kupita uchumi wetu.... hivo vijisababu vya eti sijui mkoloni aliacha nini haijalishi, manaje chochote alichoacha tz au kenya, miaka kumi badae tulikua sawa, hapo 1970 ndo kenya ilianza kupiga gap na uchumi wa tz....


Alafu uwache porojo, yani sijui ni mzembe gani wa CCM aliwadanganya hivo kuhusu EAA, na kama mazube mkaamini. Hatukuwa vitani EAC ilipovunjwa, bado raia wetu walikua wanaongeleshana, EAA ilikua biashara, kenya haingeweza kuchukua kilazima ndege za EAA kama contract ilisema tukigawanya kila mtu analata kulingana na mchango wake, hizo ni sheria za biashara, Kenya haingeweza kuchukua ndege hivi hivi bila Tz na UG kuzusha wapewe haki yao... Uliza serikali yenu kwanini haikudai wala haijawahi dai wapewe mchango wao???? mwanzo zile ndege tuliochukua hazikutosha kulipa hayo madeni, tuliwasamehe tu,.... kama unataka kesi enda East Africa Court of Justice iko hapo Tz, enda ukafungue kesi, lakini usishangae mwishowe ukiambiwa Tz ilipe deni lote manake zile ndege hazikutosha kulipa hilo deni
 
Kwa nini Kenya 68% dhidi ya TZ 10%?
Smh sasa hata patnership haujui??

Kama mimi nina milioni mbili wewe una 500k tuanzishe biashara pamoja

Si inamaanisha mimi ntakuwa na % kubwa kukuliko

Smh

Sikiza wiseboy amekupa mawaidha nzuri sana
 
Ila wa kenya wanataka kusifiwa kila siku, ukweli mchungu
 
Mzee wa nongwa vipi, leo naona umejitutumua sijui umekunywa nini. Nakubaliana na hilo la viongozi kupenda kutufyonza, na hii ni kawaida kwa viongozi wa nchi nyingi. Ni kwamba hao wa Tanzania hawajapata fursa lakini kila wakipata nafasi huwa naona wanavyo wanyonya, Ni kama juzi tu wale wa CCM waligawana mamilioni hela za walipa kodi.

Lakini nakukatalia kwenye suala la kusema hatuwezi kuendelea, Kenya inaendelea maana ni nchi ya wachapa kazi na ndio maana unaona bila raslimali, na pia ardhi ndogo ambayo nusu yake kame tunaizidi Tanzania yenye kila kitu. Tunawazidi kiuchumi, kielimu na mambo yote kwa sababu tunajituma balaa. Wabunge na viongozi wengi wanatufyonza lakini bado tunatawala na kuendelea maana hatukati tamaa.
Khaaaa!!
Mnajituma kwa lipi hasa? Sema ukweli kwamba Waingereza walipaendeleza sana hapa Kenya na tunajua uingerza n taifa kubwa na ukizingatia hali ya hewa iliwapendeza na wakaweza kuwekeza ndyo maana palikua haraka na mpka makampuni makubwa kufanya headquarters zao hapo!!
Usidanganye watu hapa!!
~Cmb
 
ipo on the ground hatuongeii mranda kwenye midomo ya watu kama majirani!!

16508037_1439062752793103_4000364818725102032_n.jpg
 
mwanza ni jirani kwa ndugu zetu....tangulia najaa!!!!

kisumu city
CEGBZZ2.jpg
 
Back
Top Bottom