Wewe jamaa una laana ya ukoo inakutesa siyo bure.
Yaani unashabikia upumbavu unaofanyika ndani ya nchi yako Tanzania chini ya ccm aka green devils halafu unavuka mpaka na kuivaa Kenya, kweli wewe ni chizi.
Hivi unaijua Kenya vizuri wewe au umeamua kuropoka tu, wakati unasema Kenya itabakia hapo hapo ilipo wakati huo Tanzania itakuwa wapi chini ya green devils?
Uchumi Wa Kenya ni mzuri mno na kila Siku unapaa tu, wakenya siyo vichwa Kama wewe na wajinga wenzako.
Kenya ni taifa la viwanda East Africa.
pesa yao ina thamani kubwa, mzunguko wa pesa ni mzuri mno Kenya.
Rais wao haongozi nchi Kwa visasi na chuki, hana muda na wapinzani anaijenga Kenya.
Kuna mbunge wa upinzani alimtukana rais Kenyatta matusi ya nguoni lakini hakuguswa, Kwa hekima kabisa Kenyatta alisema "Unapokuwa Baba wa familia na una watoto wengi ni kawaida Sana wengine kuacha kukuheshimu, namtakia heri ya mwaka mpya "
Hapa watu wakisema tu kuna njaa basi ni kuwekwa selo.
Unakera Sana mjinga wewe, yaani nchi yako Tanzania inakufa halafu unairukia Kenya?
Kenya ni mziki mwingine kabisa kiuchumi East Africa boya wewe.
CCM imeua viwanda 495 tangu Uhuru hadi leo, kaa kimya achana na Kenya wewe.