MakinikiA
JF-Expert Member
- Jun 7, 2017
- 5,104
- 6,827
Uganda na Tanzania wanauwezo wa kuchanga na kujenga refinery plant kwa ajili ya mafuta ya Uganda kuliko wanang'ang'ana na bomba la kusafirisha crude oil ambapo kuna figisu nyingi zimeanza kutoka kwa mabeberu.
Kina faida nyingi kusafisha mafuta mwenyewe kuliko kuuza crude oil,ni sawa una alizeti au mahindi halafu unauza nje mwenzako atapata unga na pumba kwenye mahindi au mafuta na mashudu kwenye alizeti.
African my people akili zimegandiana..