Waafrika ni washamba wa maendeleo na washamba wa wazunguUganda na Tanzania wanauwezo wa kuchanga na kujenga refinery plant kwa ajili ya mafuta ya Uganda kuliko wanang'ang'ana na bomba la kusafirisha crude oil ambapo kuna figisu nyingi zimeanza kutoka kwa mabeberu.
Kina faida nyingi kusafisha mafuta mwenyewe kuliko kuuza crude oil,ni sawa una alizeti au mahindi halafu unauza nje mwenzako atapata unga na pumba kwenye mahindi au mafuta na mashudu kwenye alizeti. African my people akili zimegandiana..
Kwani refinery ya TIPPER Bado ipo?Uganda na Tanzania wanauwezo wa kuchanga na kujenga refinery plant kwa ajili ya mafuta ya Uganda kuliko wanang'ang'ana na bomba la kusafirisha crude oil ambapo kuna figisu nyingi zimeanza kutoka kwa mabeberu.
Kina faida nyingi kusafisha mafuta mwenyewe kuliko kuuza crude oil,ni sawa una alizeti au mahindi halafu unauza nje mwenzako atapata unga na pumba kwenye mahindi au mafuta na mashudu kwenye alizeti. African my people akili zimegandiana..
Sie pesa yetu inatumika kwenda msibsni Kwa malikia ulaya,kwenda kunywa mvinyo msumbiji,kwenda msibsni Japan,kufanya teuzi kila siku,kuzindua vyoo na viprogram vya kata,na kugharamia misafaraUganda na Tanzania wanauwezo wa kuchanga na kujenga refinery plant kwa ajili ya mafuta ya Uganda kuliko wanang'ang'ana na bomba la kusafirisha crude oil ambapo kuna figisu nyingi zimeanza kutoka kwa mabeberu.
Kina faida nyingi kusafisha mafuta mwenyewe kuliko kuuza crude oil,ni sawa una alizeti au mahindi halafu unauza nje mwenzako atapata unga na pumba kwenye mahindi au mafuta na mashudu kwenye alizeti. African my people akili zimegandiana..
Kweli kabisa mkuu nami nilikua nawaza ivyo kwamba Bora kuyasafisha kabisa na hii ingeleta Ajira za kutosha kuliko ilivyo sasa.Sie pesa yetu inatumika kwenda msibsni Kwa malikia ulaya,kwenda kunywa mvinyo msumbiji,kwenda msibsni Japan,kufanya teuzi kila siku,kuzindua vyoo na viprogram vya kata,na kugharamia misafara