Newzealand360
Member
- Aug 10, 2022
- 88
- 122
Km vile ulikuwa kichwan mwangu,nilikuwa nasoma kitabu kinachoelezea sababu ya vita vya kwanza na athari kwa ujerumani..Kihistoria naliona taifa la ujerumani kama victim wa mahusiano na mashirikiano kwenye Jumuiya za kimataifa.
View attachment 2322832
Vita zote matokeo yake yameidhabu ujerumani. Naona vita ya Ukraine vile vile amebebwa tu.
View attachment 2322833
Vita ya pili na kunyang'anywa kwake makoloni kama sehemu ya adhabu sioni koloni la mjerumani labda kama sijui.
Anachokitejeleza urusi leohii ndicho kitachompata kimashirikiano na Jumuiya za kimataifa miaka 100 ijayo?
Ujerumani Hana nguvu saivi hasa za kivita naona alikabidhi kila kitu Kwa jirani zake uingereza na USA nakumbuka Lille sakata la udukuzi WA mawasiliano ya viongozi WA ujerman na France Germany alibweka Ila akatulia kama maji kwenye mtungi Ila naona mbeleni Germany akija kurudisha nguvu zake ndyo maana USA hamuamini kabisaKm vile ulikuwa kichwan mwangu,nilikuwa nasoma kitabu kinachoelezea sababu ya vita vya kwanza na athari kwa ujerumani..
Kwanza inaonyesha France na uingereza ndio wenye urafiki wa kweli pamoja na mshirika wa US toka zamani kwenye shida na raha
Pili mjeruman sababu moja wapo ya vita ile alijihami kipind kile baada ya kuona uzalishaji wa zana za kivita mkubwa kwa majirani zake ndio icho anachofanya now Urusi(hakupaswa leo hii amtenge)
Tatu mjeruman kageuzwa ngao ya mataifa ya ufaransa na Uingereza..wanamtumia wanavyotaka
Nne madhara anayopata ujerumani ingekuwa wanapata Uingereza ama ufaransa amini vikwazo vyote sasa hivi wangeshavifuta.
Mwisho naona bado naona US ki chin chin anafurahia pia uchumi wa mjeruman unavyodidimia coz ni km bado wanamuona aaminiki na ipo siku ndio akaja kuwa chanzo cha mvunjiko wa NATO miaka ya mbeleni
Kabisa..Ulaya kuna OMBWE l uongozi...kama wakina Markel wangekuwepo hii vita isingetokea....Angekuwa yule kiongozi mwanamke si ajabu hata hii vita isingetokea angempa Ukraine vidonge vyake
Yule mama alikuwa na msimamo sio hao viongozi wengine wanaosapoti vitu bila.kutumia akili zaoKabisa..Ulaya kuna OMBWE l uongozi...kama wakina Markel wangekuwepo hii vita isingetokea....
Haya mambo ya kutengeneza military alluances, blocks ndo huwa chanzo cha ugomvi...
Markel yupi ndugu? Ukraine ilivamiwa mwaka 2014 (Crimea) wakati huyohuyo Markel akiwa kansela wa Ujerumani.Kabisa..Ulaya kuna OMBWE l uongozi...kama wakina Markel wangekuwepo hii vita isingetokea....
Haya mambo ya kutengeneza military alluances, blocks ndo huwa chanzo cha ugomvi...
Braza angalia kwanza vita ya kwanza ya dunia,ndio utapata ulinganisho wako.Kile ujerumani alichofanya kipindi cha Adolf Hitler. Hakina utofauti na anachofanya mursi chini ya V.Putin
Na US toka vita vya kwanza tabia yake ni ile ile ya kupeleka mamia ya misaada kwa nchi inayopigana na adui yake ili badae aje azitawale hizo nchi zote zinazopigana..Haya tunayoyaona leo ni outcomes ya ile Marshall Plan.
Kiufupi ni kwamba baada ya Vita ya pili ya dunia, nchi zote za ulaya zimekuwa koloni la US.
Mwanamke kawashinda?!Yule mama alikuwa na msimamo sio hao viongozi wengine wanaosapoti vitu bila.kutumia akili zao
Wape darasa team NATO.Alichofanya Hitler ndicho Putin anakifanya, Hitler asingevamia nchi zinzomzunguka basi angevamiwa yeye, hali kadhalika kwa Putin asingeanzisha hii oparwsheni maalumu ya kijeshi nchini Ukraine basi ingefikia siku angetandikwa yeye. Hapa ujasusi ndo unafanya kazi zaidi wakati gani sahihi kuvamia mana ukichelewa inakula kwako, jiulize kwann Putin kaanza kukata gesi mapema kabla ya baridi kuanza ulaya walitegemea akate wakati wa baridi, kawahi ili watumie akiba yao mpaka baridi ilifika akiba imeisha angeendelea kuwamwagia wangehifadhi ya kutosha, sasa unawambia wananchi waoge mara 1, maofisi wapunguze matumizi ya hita nk
Markel yupi ndugu? Ukraine ilivamiwa mwaka 2014 (Crimea) wakati huyohuyo Markel akiwa kansela wa Ujerumani.
Ni Markel huyohuyo ambaye hivi sasa anakiri hadharani kuwa sera zake za kidiplomasia kuhusu mgogoro wa Ukraine na Urusi hazikufanikiwa.
Kile ujerumani alichofanya kipindi cha Adolf Hitler. Hakina utofauti na anachofanya mursi chini ya V.Putin