Alichofanya Hitler ndicho Putin anakifanya, Hitler asingevamia nchi zinzomzunguka basi angevamiwa yeye, hali kadhalika kwa Putin asingeanzisha hii oparwsheni maalumu ya kijeshi nchini Ukraine basi ingefikia siku angetandikwa yeye. Hapa ujasusi ndo unafanya kazi zaidi wakati gani sahihi kuvamia mana ukichelewa inakula kwako, jiulize kwann Putin kaanza kukata gesi mapema kabla ya baridi kuanza ulaya walitegemea akate wakati wa baridi, kawahi ili watumie akiba yao mpaka baridi ilifika akiba imeisha angeendelea kuwamwagia wangehifadhi ya kutosha, sasa unawambia wananchi waoge mara 1, maofisi wapunguze matumizi ya hita nk