Wakati ya china si juzi tu ndo who wamepitisha.......hizo za huko kwa mabepari ndo zilizopitishwa mapemaFanya uchunguzi wa vaccine waliotumia; inawezekana walitumia vaccine ya KICHINA!!!
Subiri na mama yenu hawaletee balaa lingine la covid 2063% (watu 61,631) ya raia 97,625 wa ushelisheli wameshapata dozi tatu (Fully vaccinated) ya chanjo ya covid-19, lakini hali ya maambukizi imekuwa mbaya sana kiasi kwamba serikali imeamua kufunga, shule, kuweka lock downs na masharti mengine makali ya kujikinga na corona.
Zaidi soma hapa: The Seychelles is the most vaccinated nation on Earth. But Covid has surged
63% (watu 61,631) ya raia 97,625 wa ushelisheli wameshapata dozi tatu (Fully vaccinated) ya chanjo ya covid-19, lakini hali ya maambukizi imekuwa mbaya sana kiasi kwamba serikali imeamua kufunga, shule, kuweka lock downs na masharti mengine makali ya kujikinga na corona.
Zaidi soma hapa: The Seychelles is the most vaccinated nation on Earth. But Covid has surged
Wakati ya china si juzi tu ndo who wamepitisha.......hizo za huko kwa mabepari ndo zilizopitishwa mapema

Zaidi soma hapa: The Seychelles is the most vaccinated nation on Earth. But
Wakati ya china si juzi tu ndo who wamepitisha.......hizo za huko kwa mabepari ndo zilizopitishwa mapema
Hayo mengine ila usimsingizie mchina.....hana chanjo ambayo kaitoa kwa watu wa nje ya nchi yake......chanjo yake imethibitishwa juzi tu hapa na who....pambaneni na mabeberu wenu wanaowapiga chanjo fekiZinazotumika marekani Mona zinafanya kazi vizuri tu!! Wanaokufa marekani ni wale wabishi wa kukataa chanjo!!!!
Hayo mengine ila usimsingizie mchina.....hana chanjo ambayo kaitoa kwa watu wa nje ya nchi yake......chanjo yake imethibitishwa juzi tu hapa na who....pambaneni na mabeberu wenu wanaowapiga chanjo feki
Hapo kazi ni kwako mimi ninachokwambia tu ni kwamba mchina hakua na chanjo iliyoruhusiwa kutumiwa nje ya nchi yake na WHO chanjo yake ya kwanza ndo imepitishwa mwezi huu.......sasa hilo taifa ambalo karibia asilimia 90 wameshachanjwa hio chanjo ya Mchina walitoa wapi? Kama sio hizohizo za mabeberu ndo walizitumiaChunguza ili uwe na uhakika hao shelisheli walikuwa wanatumia chanjo gani? Sio Pfizer. Maderna wala J&J!!!
Hapo kazi ni kwako mimi ninachokwambia tu ni kwamba mchina hakua na chanjo iliyoruhusiwa kutumiwa nje ya nchi yake na WHO chanjo yake ya kwanza ndo imepitishwa mwezi huu.......sasa hilo taifa ambalo karibia asilimia 90 wameshachanjwa hio chanjo ya Mchina walitoa wapi? Kama sio hizohizo za mabeberu ndo walizitumia
hadi lockdown?,Kupata chanjo haimaanishi hupati maambukizi ya Corona Tena, Bali utapata Corona, ila inakuwa kama mafua ya kawaida
subiri Tanzania inafuata baada ya mama63% (watu 61,631) ya raia 97,625 wa ushelisheli wameshapata dozi tatu (Fully vaccinated) ya chanjo ya covid-19, lakini hali ya maambukizi imekuwa mbaya sana kiasi kwamba serikali imeamua kufunga, shule, kuweka lock downs na masharti mengine makali ya kujikinga na corona.
Zaidi soma hapa: The Seychelles is the most vaccinated nation on Earth. But Covid has surged
...........................hadi umetoka nje ya mstari.........Chanjo ziko nyingi nyingi tu hata PUTIN ana chanjo, sasa ni juu yenu kuchagua hapo mtakapoamua ipi bora kati ya hizo!!