KIBESENI
JF-Expert Member
- Jul 7, 2011
- 360
- 351
Sipati jibu ninapowaza juu ya nchi yangu 🇹🇿 Tanzania. Nashindwa cha kufanya, naishia kusema: Je, Nyerere angekuwepo angenyamaza kama hawa Wastaafu walivyonyamaza utadhani hawapo?
Mbona huyu mwenye majina mengi anabomoa, nani atakayeijenga tena Tanzania ya Watanganyika na Wanzibari?
Nauliza: NYERERE ANGEKUWEPO ANGENYAMAZIA HUU UHUNI KATKA UCHAGUZI WA MITAA NA VIJIJI?
Nimeumia, sielewi.
Sasa tufanyeje watanzania, au kunyamaza ni jibu. Hatua gani tu chukue. Nawaza chakufanya nashindwa jibu. NCHI NDO INAHALIBIKA IVO!!!! Waharibifu ndo hao tunawaona wajifanya kutuongoza. MI NAUMIA.