Nimekalibia nijuzeKalibu Tanzania utayajua....
Katiba ilipovunjwa wakati wa Mwinyi, Nyerere alisema. Si tu alisema, aliandika na kitabu.Sipati jibu ninapowaza juu ya nchi yangu [emoji1241] Tanzania. Nashindwa cha kufanya, naishia kusema: Je, Nyerere angekuwepo angenyamaza kama hawa Wastaafu walivyonyamaza utadhani hawapo?
Mbona huyu mwenye majina mengi anabomoa, nani atakayeijenga tena Tanzania ya Watanganyika na Wanzibari?
Nauliza: NYERERE ANGEKUWEPO ANGENYAMAZIA HUU UHUNI KATKA UCHAGUZI WA MITAA NA VIJIJI?
Nimeumia, sielewi.
Nyerere kamsoma na kutetea hoja za John Stuart Mill, Edinburgh Scotland.Ukiwa unaandika hayo, kumbuka Nyerere alipiga chini maoni ya wengi waliopiga kura kupinga vyama vingi...tafakari kwa kina.
Sasa hivi wastaafu wote wamepewa vyeo, hii ni ziba mdomo nifanye yangu.Katiba ilipovunjwa wakati wa Mwinyi, Nyerere alisema. Si tu alisema, aliandika na kitabu.
Wastaafu wa sasa wengi wana woga na uzalendo mbaya.
Angenyamazishwa kama wengine tu.Mwenye dollars ndo mwenye nchi.Ukishastaafu na system inakustaafuSipati jibu ninapowaza juu ya nchi yangu ๐น๐ฟ Tanzania. Nashindwa cha kufanya, naishia kusema: Je, Nyerere angekuwepo angenyamaza kama hawa Wastaafu walivyonyamaza utadhani hawapo?
Mbona huyu mwenye majina mengi anabomoa, nani atakayeijenga tena Tanzania ya Watanganyika na Wanzibari?
Nauliza: NYERERE ANGEKUWEPO ANGENYAMAZIA HUU UHUNI KATKA UCHAGUZI WA MITAA NA VIJIJI?
Nimeumia, sielewi.
Kwani asingeogopa wasiojulikanaNyerere kamsoma na kutetea hoja za John Stuart Mill, Edinburgh Scotland.
Isingekuwa rahisi kwake kutetea ujinga unaoendelea sasa.
Kaandika mambo mengi sana kwenye vitabu vyake, mambo ambayo utawala wa sasa unayavunja.
why kila kitu nyerereSipati jibu ninapowaza juu ya nchi yangu ๐น๐ฟ Tanzania. Nashindwa cha kufanya, naishia kusema: Je, Nyerere angekuwepo angenyamaza kama hawa Wastaafu walivyonyamaza utadhani hawapo?
Mbona huyu mwenye majina mengi anabomoa, nani atakayeijenga tena Tanzania ya Watanganyika na Wanzibari?
Nauliza: NYERERE ANGEKUWEPO ANGENYAMAZIA HUU UHUNI KATKA UCHAGUZI WA MITAA NA VIJIJI?
Nimeumia, sielewi.
Tangu mchungaji katumbuliwa atuwasikii tena labda wako likizoHawa wasiojulilana kwani wana undugu na mzarendo no 1, mwenye majina mengi.