KIBESENI JF-Expert Member Joined Jul 7, 2011 Posts 360 Reaction score 351 Nov 24, 2019 Thread starter #21 ChizzoDrama said: why kila kitu nyerere Click to expand... Busara zake na hekima, hakuna kiongozi aliyezifikia.
ChizzoDrama said: why kila kitu nyerere Click to expand... Busara zake na hekima, hakuna kiongozi aliyezifikia.
Kiranga Platinum Member Joined Jan 29, 2009 Posts 89,019 Reaction score 156,726 Nov 24, 2019 #22 mulaga said: Kwani asingeogopa wasiojulikana Click to expand... Yeye mwenyewe babu yao kawafundisha kazi wote.
mulaga said: Kwani asingeogopa wasiojulikana Click to expand... Yeye mwenyewe babu yao kawafundisha kazi wote.
Kiranga Platinum Member Joined Jan 29, 2009 Posts 89,019 Reaction score 156,726 Nov 24, 2019 #23 KIBESENI said: Sa Sasa hivi wastaafu wote wamepewa vyeo, hii ni ziba mdomo nifanye yangu. LAKINI NDO TUNAWATENGENEZA AKINA OSAMA NA JOSEFU NKONYI.. Watakaoidai haki kwa hata kumwaga damu. NACHELEA......... Click to expand... Ukimnyima mtu uhuru wa kujieleza na kuchagua, unamlazimisha atumie nguvu.
KIBESENI said: Sa Sasa hivi wastaafu wote wamepewa vyeo, hii ni ziba mdomo nifanye yangu. LAKINI NDO TUNAWATENGENEZA AKINA OSAMA NA JOSEFU NKONYI.. Watakaoidai haki kwa hata kumwaga damu. NACHELEA......... Click to expand... Ukimnyima mtu uhuru wa kujieleza na kuchagua, unamlazimisha atumie nguvu.
wa stendi JF-Expert Member Joined Jul 7, 2016 Posts 26,597 Reaction score 29,527 Nov 24, 2019 #24 Siku akija atatamani afe tena