Ni jambo la hatari kama nchi kukosa wazee washauri na wenye hekima!
Kama jambo hili la kubinafisishwa Bandari zetu za Bara lilipita mikononi mwa wazee kwa ajili ya kushauri na wakaona vema kwamba inafaa kwa DP word kupewa mkataba usio na kikomo! Doh!!
Kama Taifa, tunahasara kubwa kiasi cha kusema, sasaTaifa letu halina uhaba wa dollar pekee bali pia uhaba wa wazee waliojaa busara na hekima!
Inawezekanaje wazee mkubali huu mkataba usio na kikomo?
Kipimo cha maarifa yenu kilishia hapo mkasahau kabisa kuna kizazi chenye ufanisi mkubwa kushinda nyinyi kinachozaliwa sasa ndo kitakuja kuboresha hizi Bandari?
Wazee hawa ambao hawakumshauri vizuri Rais wetu wakaona inafaa tu Bandari apewe mwarabu Milele na Milele?
Ajabu kabisa