Nchi Yetu Ingekuwa Makini, Hakuna Aliyekuwa Mbunge Angestahili Kurudi Bungeni.

Hamatan

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2020
Posts
7,840
Reaction score
18,115
Bunge hili lililomaliza muda wake ndiyo lilikuwa bunge la hovyo kuliko bunge lolote lililowahi kuwepo. Hili ndiyo bunge:

1. Lililoidhinisha uporwaji wa rasilimali za Tanganyika na kupewa waarabu.
2. Hili ndiyo Bunge lililokaa kimya wakati Watanganyika wakitekwa na kuuawa, kupotezwa na kuteswa.

3. Hili ndiyo Bunge lililokaa kimya wakati katiba ikivunjwa, wazanzibari wakipewa nafasi za uongozi Tanganyika kwenye nafasi ambazo siyo za Muungano, wakati watanganyika hawawezi kuwa hata shekha huko Zanzibar.

4. Hili ndiyo Bunge ambalo limeidhinisha mabilioni ya pesa kukopwa na Serikali ya JMT na pesa hiyo yote kupelekwa Zanzibar, wakati atakayeilipa ni Tanganyika. Mfano mzuri ni ule mkopo wa bilioni 400 kwaajili ya ujenzi wa hospitali kuu ya Zanzibar itakayokuwa kubwa sawa na ya Muhimbili.

5. Hili ndiyo bunge ambalo hakuna cha maana ambacho lilikuwa likifanya zaidi ya kumsifia Rais Bungeni, wakati kukiwa na mambo mengi ya hovyo kama ya udhulumaji haki za wananchi.

Kama CCM kingekuwa ni chama cha wananchi, waliokuwa wabunge wa bunge lililopita, walitakiwa wote majina yao kukatwa. Lakini kwa sasa haiwezekani kwa sababu wahuni wamewanyang'anya wanaCCM chama chao, na sasa chama kinamilikiwa na wahuni kutoka familia 3, zinazoitumia CCM kuwapeleka wahuni bungeni. Na kwa kujua wahuni hawawezi kuchaguliwa na wananchi, wahuni wameamua kuweka sheria na kanuni za kihuni ili wananchi wasiwe na uwezo wa kuwachagua wanaowataka kuwa viongozi wao.
 
Wamelambishwa asali kubwa ili wanyamaze kimya, ukipiga kelele mali zako zinaanza kutafutwa na kufungiwa,
Hakuna mwanasiasa anaweza kuikomboa nchi na hajawahi kutokea duniani, wenye kuikomboa nchi ni wananchi wenyewe
 
Nawalaumu Watanganyika wanaoshabikia inchi yao kuporwa rasilimali zake na Zanzibar maana Magufuri au Mkapa wangekuwepo wasingekubali huo ujinga
 
FB_IMG_1749627742554.jpg
 
Tanzania uchumi umekua kiasi kikubwa kwenye awamu hii. Pamoja na mapungufu wamechapa kazi kustahili pongezi. Lililo Baki ni uamuzi wa bosi wao yaani wananchi kwenye Sanduku la kura hapo mwezi oktoba
 
Mbunge tu au kuanzia juu?
Huyo wa juu ndiye chanzo cha uovu wote. Kama tungekuwa na Bunge la kweli, walitakiwa kumpigia kura ya kutokuwa na imani naye pale tu alipoipora bandari yetu na kuwagawia waarabu.
 
Sio wabunge tu, hata huyua hafai kurudi, basi tu watz sisi ni wafu tunalotembea
 
Na kile kichawi cha mbeya kilicho zuia ata report ya CAG kujadiliwa kile hakifai kabisa
 
Tanzania uchumi umekua kiasi kikubwa kwenye awamu hii. Pamoja na mapungufu wamechapa kazi kustahili pongezi. Lililo Baki ni uamuzi wa bosi wao yaani wananchi kwenye Sanduku la kura hapo mwezi oktoba

Uchumi haupimwi kwa absolute figures za pesa, yaani makusanyo ya kodi.

Usidanganyike kuwa mapato au mauzo au makusanyo ya mapato ya utalii kuwa yameongezeka sana.

Ili kujua kuwa kuna ongezeko la kweli, angalia ongezeko la watu, angalia thamani halisi ya pesa. Ufahamu kuwa katika thamani halisi, shilingi trilioni 3 ya leo inaweza kuwa sawa na shilingi trilioni 1 miaka 10 iliyopita. Dollar bilioni 3.5 ya leo inaweza kuwa sawa na dollar bilioni 2, miaka 14 iliyopita. Lakini wajinga wakiambiwa kuwa eti miaka 14 iliyopita mapato ya utalii yalikuwa dollar bilioni 2.5, leo ni 3.5, wanaamini kuwa yamepanda sana wakati depreciation ya thamani ya dollar ni wastani wa 20% kila baada ya miaka 7. Hivyo kwa miaka 14, dollar bilioni 2.5 ya miaka 14 iliyopita, thamani yake kwa leo ni sawa na dollar bilioni 3.6.
 
Na kile kichawi cha mbeya kilicho zuia ata report ya CAG kujadiliwa kile hakifai kabisa
Hakika, kale hakafai hata kidogo, ni laana kwa taifa kuwa na mtu kama yule katika nchi.
 
Bunge hili lililomaliza muda wake ndiyo lilikuwa bunge la hovyo kuliko bunge lolote lililowahi kuwepo. Hili ndiyo bunge:

1. Lililoidhinisha uporwaji wa rasilimali za Tanganyika na kupewa waarabu.
2. Hili ndiyo Bunge lililokaa kimya wakati Watanganyika wakitekwa na kuuawa, kupotezwa na kuteswa.

3. Hili ndiyo Bunge lililokaa kimya wakati katiba ikivunjwa, wazanzibari wakipewa nafasi za uongozi Tanganyika kwenye nafasi ambazo siyo za Muungano, wakati watanganyika hawawezi kuwa hata shekha huko Zanzibar.

4. Hili ndiyo Bunge ambalo limeidhinisha mabilioni ya pesa kukopwa na Serikali ya JMT na pesa hiyo yote kupelekwa Zanzibar, wakati atakayeilipa ni Tanganyika. Mfano mzuri ni ule mkopo wa bilioni 400 kwaajili ya ujenzi wa hospitali kuu ya Zanzibar itakayokuwa kubwa sawa na ya Muhimbili.

5. Hili ndiyo bunge ambalo hakuna cha maana ambacho lilikuwa likifanya zaidi ya kumsifia Rais Bungeni, wakati kukiwa na mambo mengi ya hovyo kama ya udhulumaji haki za wananchi.

Kama CCM kingekuwa ni chama cha wananchi, waliokuwa wabunge wa bunge lililopita, walitakiwa wote majina yao kukatwa. Lakini kwa sasa haiwezekani kwa sababu wahuni wamewanyang'anya wanaCCM chama chao, na sasa chama kinamilikiwa na wahuni kutoka familia 3, zinazoitumia CCM kuwapeleka wahuni bungeni. Na kwa kujua wahuni hawawezi kuchaguliwa na wananchi, wahuni wameamua kuweka sheria na kanuni za kihuni ili wananchi wasiwe na uwezo wa kuwachagua wanaowataka kuwa viongozi wao.
Umakini ni tatizo adimu sana
 
Ubunge ni sehemu ya ulaji wa pesa na upuuzi ningekuwa mi rais ningefuta kabisa huu upuuzi
Mkuu wa mkoa,wilaya, mkurugenzi wanatosha kabisaa
 
Nasikia wahuni wahuni wahuni hivi hao wahuni ni wakina nani?
 
Halafu wewe ndio ungelikuwa Mbunge badala yao?
 
Sio Bunge tu...hata viongozi wa mahakama, jeshi la polisi na serikali kuu kwa ujumla wake wote hawakupaswa kuendelea na hizo nafasi...stupid.
 
Na hizo familia tatu makazi yao ni
i.MSOGA
ii.KIZIMKAZI
Iil.MAISARA ila Walitokea Mkuranga..yaani wanaiona hii nchi kama MALI yao binafsi..TUAMKE
 
Back
Top Bottom