Huyo wa juu ndiye chanzo cha uovu wote. Kama tungekuwa na Bunge la kweli, walitakiwa kumpigia kura ya kutokuwa na imani naye pale tu alipoipora bandari yetu na kuwagawia waarabu.Mbunge tu au kuanzia juu?
Tanzania uchumi umekua kiasi kikubwa kwenye awamu hii. Pamoja na mapungufu wamechapa kazi kustahili pongezi. Lililo Baki ni uamuzi wa bosi wao yaani wananchi kwenye Sanduku la kura hapo mwezi oktoba
Hakika, kale hakafai hata kidogo, ni laana kwa taifa kuwa na mtu kama yule katika nchi.Na kile kichawi cha mbeya kilicho zuia ata report ya CAG kujadiliwa kile hakifai kabisa
Umakini ni tatizo adimu sanaBunge hili lililomaliza muda wake ndiyo lilikuwa bunge la hovyo kuliko bunge lolote lililowahi kuwepo. Hili ndiyo bunge:
1. Lililoidhinisha uporwaji wa rasilimali za Tanganyika na kupewa waarabu.
2. Hili ndiyo Bunge lililokaa kimya wakati Watanganyika wakitekwa na kuuawa, kupotezwa na kuteswa.
3. Hili ndiyo Bunge lililokaa kimya wakati katiba ikivunjwa, wazanzibari wakipewa nafasi za uongozi Tanganyika kwenye nafasi ambazo siyo za Muungano, wakati watanganyika hawawezi kuwa hata shekha huko Zanzibar.
4. Hili ndiyo Bunge ambalo limeidhinisha mabilioni ya pesa kukopwa na Serikali ya JMT na pesa hiyo yote kupelekwa Zanzibar, wakati atakayeilipa ni Tanganyika. Mfano mzuri ni ule mkopo wa bilioni 400 kwaajili ya ujenzi wa hospitali kuu ya Zanzibar itakayokuwa kubwa sawa na ya Muhimbili.
5. Hili ndiyo bunge ambalo hakuna cha maana ambacho lilikuwa likifanya zaidi ya kumsifia Rais Bungeni, wakati kukiwa na mambo mengi ya hovyo kama ya udhulumaji haki za wananchi.
Kama CCM kingekuwa ni chama cha wananchi, waliokuwa wabunge wa bunge lililopita, walitakiwa wote majina yao kukatwa. Lakini kwa sasa haiwezekani kwa sababu wahuni wamewanyang'anya wanaCCM chama chao, na sasa chama kinamilikiwa na wahuni kutoka familia 3, zinazoitumia CCM kuwapeleka wahuni bungeni. Na kwa kujua wahuni hawawezi kuchaguliwa na wananchi, wahuni wameamua kuweka sheria na kanuni za kihuni ili wananchi wasiwe na uwezo wa kuwachagua wanaowataka kuwa viongozi wao.
Ubunge ni sehemu ya ulaji wa pesa na upuuzi ningekuwa mi rais ningefuta kabisa huu upuuziBunge hili lililomaliza muda wake ndiyo lilikuwa bunge la hovyo kuliko bunge lolote lililowahi kuwepo. Hili ndiyo bunge:
1. Lililoidhinisha uporwaji wa rasilimali za Tanganyika na kupewa waarabu.
2. Hili ndiyo Bunge lililokaa kimya wakati Watanganyika wakitekwa na kuuawa, kupotezwa na kuteswa.
3. Hili ndiyo Bunge lililokaa kimya wakati katiba ikivunjwa, wazanzibari wakipewa nafasi za uongozi Tanganyika kwenye nafasi ambazo siyo za Muungano, wakati watanganyika hawawezi kuwa hata shekha huko Zanzibar.
4. Hili ndiyo Bunge ambalo limeidhinisha mabilioni ya pesa kukopwa na Serikali ya JMT na pesa hiyo yote kupelekwa Zanzibar, wakati atakayeilipa ni Tanganyika. Mfano mzuri ni ule mkopo wa bilioni 400 kwaajili ya ujenzi wa hospitali kuu ya Zanzibar itakayokuwa kubwa sawa na ya Muhimbili.
5. Hili ndiyo bunge ambalo hakuna cha maana ambacho lilikuwa likifanya zaidi ya kumsifia Rais Bungeni, wakati kukiwa na mambo mengi ya hovyo kama ya udhulumaji haki za wananchi.
Kama CCM kingekuwa ni chama cha wananchi, waliokuwa wabunge wa bunge lililopita, walitakiwa wote majina yao kukatwa. Lakini kwa sasa haiwezekani kwa sababu wahuni wamewanyang'anya wanaCCM chama chao, na sasa chama kinamilikiwa na wahuni kutoka familia 3, zinazoitumia CCM kuwapeleka wahuni bungeni. Na kwa kujua wahuni hawawezi kuchaguliwa na wananchi, wahuni wameamua kuweka sheria na kanuni za kihuni ili wananchi wasiwe na uwezo wa kuwachagua wanaowataka kuwa viongozi wao.
Nasikia wahuni wahuni wahuni hivi hao wahuni ni wakina nani?Bunge hili lililomaliza muda wake ndiyo lilikuwa bunge la hovyo kuliko bunge lolote lililowahi kuwepo. Hili ndiyo bunge:
1. Lililoidhinisha uporwaji wa rasilimali za Tanganyika na kupewa waarabu.
2. Hili ndiyo Bunge lililokaa kimya wakati Watanganyika wakitekwa na kuuawa, kupotezwa na kuteswa.
3. Hili ndiyo Bunge lililokaa kimya wakati katiba ikivunjwa, wazanzibari wakipewa nafasi za uongozi Tanganyika kwenye nafasi ambazo siyo za Muungano, wakati watanganyika hawawezi kuwa hata shekha huko Zanzibar.
4. Hili ndiyo Bunge ambalo limeidhinisha mabilioni ya pesa kukopwa na Serikali ya JMT na pesa hiyo yote kupelekwa Zanzibar, wakati atakayeilipa ni Tanganyika. Mfano mzuri ni ule mkopo wa bilioni 400 kwaajili ya ujenzi wa hospitali kuu ya Zanzibar itakayokuwa kubwa sawa na ya Muhimbili.
5. Hili ndiyo bunge ambalo hakuna cha maana ambacho lilikuwa likifanya zaidi ya kumsifia Rais Bungeni, wakati kukiwa na mambo mengi ya hovyo kama ya udhulumaji haki za wananchi.
Kama CCM kingekuwa ni chama cha wananchi, waliokuwa wabunge wa bunge lililopita, walitakiwa wote majina yao kukatwa. Lakini kwa sasa haiwezekani kwa sababu wahuni wamewanyang'anya wanaCCM chama chao, na sasa chama kinamilikiwa na wahuni kutoka familia 3, zinazoitumia CCM kuwapeleka wahuni bungeni. Na kwa kujua wahuni hawawezi kuchaguliwa na wananchi, wahuni wameamua kuweka sheria na kanuni za kihuni ili wananchi wasiwe na uwezo wa kuwachagua wanaowataka kuwa viongozi wao.
Halafu wewe ndio ungelikuwa Mbunge badala yao?Bunge hili lililomaliza muda wake ndiyo lilikuwa bunge la hovyo kuliko bunge lolote lililowahi kuwepo. Hili ndiyo bunge: