Mganguzi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2022
- 1,604
- 3,715
Nimemiss sauti na harakati za Tundu Lissu, atarejea lini huyu mtu?
Ni nini ambacho kimeendelea kuwa kikwazo kwake kiasi kwamba abakie Ubelgiji mara nyingi ana ahidi kurejea mwisho kunakuwa kimya kabisa Kwanini harejei? Najua Kuna watu wengi wamemmis akiwa mahakamani sambamba na akina Kibatala kuwapambania Watanzania katika kudai haki zao nyinyi mlio karibu naye mwambieni nchi iko shwari.
Samia Suluhu Hassani yuko poa sana kila sehemu kuko poa hakuna haja ya kujinyima uhuru wake mwambieni arejee tuendelee kuipambania nchi yetu.