Nchi yetu ya ajabu kweli yaani Polepole ndo kasahaulika kama akina Mdude na Saanane!!!

The Father of All

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2012
Posts
11,099
Reaction score
13,709
1760977604372.png
1760977642865.png
1760977688564.png

Taarifa za kutekwa kwa Humphrey Polepole zilisambaa kama moto wa kiangazi. Watu walijiapisha kuwa huu ndiyo ulikuwa mwisho wa utekaji wasijue kumbe ndiyo mwanzo.

Tuliwasikia akina Gwajima wakidandia juu ya Polepole kulipiza kisasi kwa kufungiwa maduka yao ya kuchuuza roho. Wengi walidhani mamlaka zingestuka hata kugwaya wasijue wanawajua watu wao walivyo hovyo.

Ni wepesi wa kunung'unika na wavivu wa kuchukua hatua. Hili watawala wetu wanalijua fika. Ndiyo maana walitwambia wazi wazi kuwa wao ni kama chura asiyejali hata maji ya kichafuliwa.

Sasa tazama Polepole kasahulika kama akina Ben Saanane, Mdude Nyagali na wengine. Ama kweli Tanzania ni nchi ya ajabu kweli kweli. Namna hii, tutatawaliwa na kuliwa hadi tukome.
 
View attachment 3491223View attachment 3491225View attachment 3491226
Taarifa za kutekwa kwa Humphrey Polepole zilisambaa kama moto wa kiangazi. Watu walijiapisha kuwa huu ndiyo ulikuwa mwisho wa utekaji wasijue kumbe ndiyo mwanzo. Tuliwasikia akina gwajima wakidandia juu ya Polepole kulipiza kisasi kwa kufungiwa maduka yao ya kuchuuza roho. Wengi walidhani mamlaka zingestuka hata kugwaya wasijue wanawajua watu wao walivyo hovyo. Ni wepesi wa kunung'unika na wavivu wa kuchukua hatua. Hili watawala wetu wanalijua fika. Ndiyo maana walitwambia wazi wazi kuwa wao ni kama chura asiyejali hata maji ya kichafuliwa. Sasa tazama Polepole kasahulika kama akina Ben Saanane, Mdude Nyagali na wengine. Ama kweli Tanzania ni nchi ya ajabu kweli kweli. Namna hii, tutatawaliwa na kuliwa hadi tukome.
Kuna yule ndugu yake aliyekuwa anatoa matamko kupitia video clips. Sijamsikia tena. Kuna ''umbeya'' eti alipigiwa simu, akapewa aongee na Polepole na akamsihi akae kimya kwani asipofanya hivyo watamdhuru. Sijui kuna ukweli gani kwenye hili kwani wengine wanasema alifariki mara tu baada ya kukamatwa. Ni huzuni sana.
 
View attachment 3491223View attachment 3491225View attachment 3491226
Taarifa za kutekwa kwa Humphrey Polepole zilisambaa kama moto wa kiangazi. Watu walijiapisha kuwa huu ndiyo ulikuwa mwisho wa utekaji wasijue kumbe ndiyo mwanzo. Tuliwasikia akina gwajima wakidandia juu ya Polepole kulipiza kisasi kwa kufungiwa maduka yao ya kuchuuza roho. Wengi walidhani mamlaka zingestuka hata kugwaya wasijue wanawajua watu wao walivyo hovyo. Ni wepesi wa kunung'unika na wavivu wa kuchukua hatua. Hili watawala wetu wanalijua fika. Ndiyo maana walitwambia wazi wazi kuwa wao ni kama chura asiyejali hata maji ya kichafuliwa. Sasa tazama Polepole kasahulika kama akina Ben Saanane, Mdude Nyagali na wengine. Ama kweli Tanzania ni nchi ya ajabu kweli kweli. Namna hii, tutatawaliwa na kuliwa hadi tukome.
Hajatekwa..
Polisi wamesema wanamsubiri na akirudi aripoti ostabei pale
Ikumbukwe mara umya mwisho kuitwa na polisi aliwajibu kuwa serikali ta tanzania imemtekeleza kyuba hivyo bado yuko kyuba.
 
Maelekezo Maalum kuhusu tarehe 29 Oktoba.

Siku hiyo kazi ni rahisi sana

Viongozi wa CCM tunaishi nao mitaani; Nyumba zao zipo mitaani kwetu, mali zao zipo mitaani kwetu.

Ofisi za CCM zipo mitaani kwetu. Ofisi za Umma nazo zipo mitaani kwetu

VItuo vya kupigia kura vipo mitaani kwetu

Mawaziri, Wabunge na Madiwani tunaishi nao mitaani kwetu, familia zao na ndugu zao tunaishi nao mitaani kwetu. Machawa na mali zao tunaishi nao mitaani kwetu.

Ndugu watanzania, mafuta ya taa, petroli na viberiti havijawahi kuwa adimu.

Tukafanye kazi iliyotukuka hiyo Oktoba 29 hadi hawa Mafisadi watuheshimu na wakome kutuchezea na kutuua.

Share na mwenzako
 
Alafu ukiwaambia ukweli wanakutukana wakiwa na majina bandia wamejificha
View attachment 3491223View attachment 3491225View attachment 3491226
Taarifa za kutekwa kwa Humphrey Polepole zilisambaa kama moto wa kiangazi. Watu walijiapisha kuwa huu ndiyo ulikuwa mwisho wa utekaji wasijue kumbe ndiyo mwanzo.

Tuliwasikia akina Gwajima wakidandia juu ya Polepole kulipiza kisasi kwa kufungiwa maduka yao ya kuchuuza roho. Wengi walidhani mamlaka zingestuka hata kugwaya wasijue wanawajua watu wao walivyo hovyo.

Ni wepesi wa kunung'unika na wavivu wa kuchukua hatua. Hili watawala wetu wanalijua fika. Ndiyo maana walitwambia wazi wazi kuwa wao ni kama chura asiyejali hata maji ya kichafuliwa.

Sasa tazama Polepole kasahulika kama akina Ben Saanane, Mdude Nyagali na wengine. Ama kweli Tanzania ni nchi ya ajabu kweli kweli. Namna hii, tutatawaliwa na kuliwa hadi tukome.
Kasaulika vipi wakati wewe hapo umemkumbuka!
 
Mimi nafsi yangu imekataa kukubali kuwa polepole katekwa. Nimejitahidi kulazimisha moyo wangu ukubali lakini nafsi imekataa katakata

Back
Top Bottom