Nchi yetu ya ajabu kweli yaani Polepole ndo kasahaulika kama akina Mdude na Saanane!!!

Kuna yule ndugu yake aliyekuwa anatoa matamko kupitia video clips. Sijamsikia tena. Kuna ''umbeya'' eti alipigiwa simu, akapewa aongee na Polepole na akamsihi akae kimya kwani asipofanya hivyo watamdhuru. Sijui kuna ukweli gani kwenye hili kwani wengine wanasema alifariki mara tu baada ya kukamatwa. Ni huzuni sana.
👇👇👇
 
Attachments

  • Facebook 1446050337526388(480P_SD).mp4
    5.2 MB
View attachment 3491223View attachment 3491225View attachment 3491226
Taarifa za kutekwa kwa Humphrey Polepole zilisambaa kama moto wa kiangazi. Watu walijiapisha kuwa huu ndiyo ulikuwa mwisho wa utekaji wasijue kumbe ndiyo mwanzo.

Tuliwasikia akina Gwajima wakidandia juu ya Polepole kulipiza kisasi kwa kufungiwa maduka yao ya kuchuuza roho. Wengi walidhani mamlaka zingestuka hata kugwaya wasijue wanawajua watu wao walivyo hovyo.

Ni wepesi wa kunung'unika na wavivu wa kuchukua hatua. Hili watawala wetu wanalijua fika. Ndiyo maana walitwambia wazi wazi kuwa wao ni kama chura asiyejali hata maji ya kichafuliwa.

Sasa tazama Polepole kasahulika kama akina Ben Saanane, Mdude Nyagali na wengine. Ama kweli Tanzania ni nchi ya ajabu kweli kweli. Namna hii, tutatawaliwa na kuliwa hadi tukome.
Utamkumbukaje mtu aliyekuwa anaigania samia aachie ngazi CCM wachague mgombea mpya halafu uchaguzi uendelee. Huyu alitakiwa aje na ajenda ya katiba mpya.
 
Kuna yule ndugu yake aliyekuwa anatoa matamko kupitia video clips. Sijamsikia tena. Kuna ''umbeya'' eti alipigiwa simu, akapewa aongee na Polepole na akamsihi akae kimya kwani asipofanya hivyo watamdhuru. Sijui kuna ukweli gani kwenye hili kwani wengine wanasema alifariki mara tu baada ya kukamatwa. Ni huzuni sana.
Mbona kaongea tena.
Leo hii Kuna thread humu umeweka clip yake.
Search "Augustino Polepole"
 
Mimi nilishashauri njia pekee ya kudeal na watekaji ni kuwa aggresive kama wanavyokuja tu mambo ya kutia huruma sijui tumuachie mungu hayana tija na yamefika ukomo.

Si mmeona yule jamaa juzi ubalozini pale alivyowapigisha kwata wale vibaka watumishi wa ubalozini pale Washington walipotaka kumdhuru, sote tunaona aliwatolea nini wakarudi nyuma.

Tanzania haina second amendment ila sasa itabidi wananchi wajitengenezee yao kama jeshi limegeuka tawi la kuibeba CCM na kuwadhuru wananchi badala ya kuwalinda basi wanachi waanze kujilinda vilivyo mpaka heshima irudi.
 
Kuna yule ndugu yake aliyekuwa anatoa matamko kupitia video clips. Sijamsikia tena. Kuna ''umbeya'' eti alipigiwa simu, akapewa aongee na Polepole na akamsihi akae kimya kwani asipofanya hivyo watamdhuru. Sijui kuna ukweli gani kwenye hili kwani wengine wanasema alifariki mara tu baada ya kukamatwa. Ni huzuni sana.
 
View attachment 3491223View attachment 3491225View attachment 3491226
Taarifa za kutekwa kwa Humphrey Polepole zilisambaa kama moto wa kiangazi. Watu walijiapisha kuwa huu ndiyo ulikuwa mwisho wa utekaji wasijue kumbe ndiyo mwanzo.

Tuliwasikia akina Gwajima wakidandia juu ya Polepole kulipiza kisasi kwa kufungiwa maduka yao ya kuchuuza roho. Wengi walidhani mamlaka zingestuka hata kugwaya wasijue wanawajua watu wao walivyo hovyo.

Ni wepesi wa kunung'unika na wavivu wa kuchukua hatua. Hili watawala wetu wanalijua fika. Ndiyo maana walitwambia wazi wazi kuwa wao ni kama chura asiyejali hata maji ya kichafuliwa.

Sasa tazama Polepole kasahulika kama akina Ben Saanane, Mdude Nyagali na wengine. Ama kweli Tanzania ni nchi ya ajabu kweli kweli. Namna hii, tutatawaliwa na kuliwa hadi tukome.
Hapana
Chance katika matukio, sema hawajagusa penyewe, waguse kama paleee walivyogusa kwa Mwamwindi!!

Is a chance which gonna happen or never in one to many outcomes!!
 
View attachment 3491223View attachment 3491225View attachment 3491226
Taarifa za kutekwa kwa Humphrey Polepole zilisambaa kama moto wa kiangazi. Watu walijiapisha kuwa huu ndiyo ulikuwa mwisho wa utekaji wasijue kumbe ndiyo mwanzo.

Tuliwasikia akina Gwajima wakidandia juu ya Polepole kulipiza kisasi kwa kufungiwa maduka yao ya kuchuuza roho. Wengi walidhani mamlaka zingestuka hata kugwaya wasijue wanawajua watu wao walivyo hovyo.

Ni wepesi wa kunung'unika na wavivu wa kuchukua hatua. Hili watawala wetu wanalijua fika. Ndiyo maana walitwambia wazi wazi kuwa wao ni kama chura asiyejali hata maji ya kichafuliwa.

Sasa tazama Polepole kasahulika kama akina Ben Saanane, Mdude Nyagali na wengine. Ama kweli Tanzania ni nchi ya ajabu kweli kweli. Namna hii, tutatawaliwa na kuliwa hadi tukome.
Majibu ya haya yaote watanzania wanayo siku 8 zijazo.
 
Back
Top Bottom