The Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 11,099
- 13,709
Kuna yule ndugu yake aliyekuwa anatoa matamko kupitia video clips. Sijamsikia tena. Kuna ''umbeya'' eti alipigiwa simu, akapewa aongee na Polepole na akamsihi akae kimya kwani asipofanya hivyo watamdhuru. Sijui kuna ukweli gani kwenye hili kwani wengine wanasema alifariki mara tu baada ya kukamatwa. Ni huzuni sana.View attachment 3491223View attachment 3491225View attachment 3491226
Taarifa za kutekwa kwa Humphrey Polepole zilisambaa kama moto wa kiangazi. Watu walijiapisha kuwa huu ndiyo ulikuwa mwisho wa utekaji wasijue kumbe ndiyo mwanzo. Tuliwasikia akina gwajima wakidandia juu ya Polepole kulipiza kisasi kwa kufungiwa maduka yao ya kuchuuza roho. Wengi walidhani mamlaka zingestuka hata kugwaya wasijue wanawajua watu wao walivyo hovyo. Ni wepesi wa kunung'unika na wavivu wa kuchukua hatua. Hili watawala wetu wanalijua fika. Ndiyo maana walitwambia wazi wazi kuwa wao ni kama chura asiyejali hata maji ya kichafuliwa. Sasa tazama Polepole kasahulika kama akina Ben Saanane, Mdude Nyagali na wengine. Ama kweli Tanzania ni nchi ya ajabu kweli kweli. Namna hii, tutatawaliwa na kuliwa hadi tukome.
Hajatekwa..View attachment 3491223View attachment 3491225View attachment 3491226
Taarifa za kutekwa kwa Humphrey Polepole zilisambaa kama moto wa kiangazi. Watu walijiapisha kuwa huu ndiyo ulikuwa mwisho wa utekaji wasijue kumbe ndiyo mwanzo. Tuliwasikia akina gwajima wakidandia juu ya Polepole kulipiza kisasi kwa kufungiwa maduka yao ya kuchuuza roho. Wengi walidhani mamlaka zingestuka hata kugwaya wasijue wanawajua watu wao walivyo hovyo. Ni wepesi wa kunung'unika na wavivu wa kuchukua hatua. Hili watawala wetu wanalijua fika. Ndiyo maana walitwambia wazi wazi kuwa wao ni kama chura asiyejali hata maji ya kichafuliwa. Sasa tazama Polepole kasahulika kama akina Ben Saanane, Mdude Nyagali na wengine. Ama kweli Tanzania ni nchi ya ajabu kweli kweli. Namna hii, tutatawaliwa na kuliwa hadi tukome.
Watanzania ni wanafiki wanakushawishi ufanye ujinga wanakwambia wapo nyuma Yako ukigeuka huwakuti maneno tu hawana vitendo Kila mtu anajali tumbo lake
Alafu ukiwaambia ukweli wanakutukana wakiwa na majina bandia wamejificha
Kasaulika vipi wakati wewe hapo umemkumbuka!View attachment 3491223View attachment 3491225View attachment 3491226
Taarifa za kutekwa kwa Humphrey Polepole zilisambaa kama moto wa kiangazi. Watu walijiapisha kuwa huu ndiyo ulikuwa mwisho wa utekaji wasijue kumbe ndiyo mwanzo.
Tuliwasikia akina Gwajima wakidandia juu ya Polepole kulipiza kisasi kwa kufungiwa maduka yao ya kuchuuza roho. Wengi walidhani mamlaka zingestuka hata kugwaya wasijue wanawajua watu wao walivyo hovyo.
Ni wepesi wa kunung'unika na wavivu wa kuchukua hatua. Hili watawala wetu wanalijua fika. Ndiyo maana walitwambia wazi wazi kuwa wao ni kama chura asiyejali hata maji ya kichafuliwa.
Sasa tazama Polepole kasahulika kama akina Ben Saanane, Mdude Nyagali na wengine. Ama kweli Tanzania ni nchi ya ajabu kweli kweli. Namna hii, tutatawaliwa na kuliwa hadi tukome.
Sidhani kama hii inatosha. Nilidhani tungewabana watekaji wetu wamuachie na kuacha mchezo huu mchafuKasaulika vipi wakati wewe hapo umemkumbuka!
View attachment 3491223View attachment 3491225View attachment 3491226
Taarifa za kutekwa kwa Humphrey Polepole zilisambaa kama moto wa kiangazi. Watu walijiapisha kuwa huu ndiyo ulikuwa mwisho wa utekaji wasijue kumbe ndiyo mwanzo.
Tuliwasikia akina Gwajima wakidandia juu ya Polepole kulipiza kisasi kwa kufungiwa maduka yao ya kuchuuza roho. Wengi walidhani mamlaka zingestuka hata kugwaya wasijue wanawajua watu wao walivyo hovyo.
Ni wepesi wa kunung'unika na wavivu wa kuchukua hatua. Hili watawala wetu wanalijua fika. Ndiyo maana walitwambia wazi wazi kuwa wao ni kama chura asiyejali hata maji ya kichafuliwa.
Sasa tazama Polepole kasahulika kama akina Ben Saanane, Mdude Nyagali na wengine. Ama kweli Tanzania ni nchi ya ajabu kweli kweli. Namna hii, tutatawaliwa na kuliwa hadi tukome.
Usijilazimishe. Kama hajatekwa, yuko wapi? Simpo.Mimi nafsi yangu imekataa kukubali kuwa polepole katekwa. Nimejitahidi kulazimisha moyo wangu ukubali lakini nafsi imekataa katakata
SijuiNani alimshawishi Polepole?
Unamkumbuka taasisi zilizo"mtakia" heri nape wakati fulani akiwa nafasi y uaziri, baada ya kuondolewa kwenye nafasi akiwa kwenye Sherehe usiku?...ajabu sana Watu wanafikiri a Matumbo yao tu
Watanzania ni wanafiki wanakushawishi ufanye ujinga wanakwambia wapo nyuma Yako ukigeuka huwakuti maneno tu hawana vitendo Kila mtu anajali tumbo lake
Lini na vipi?
Ongeza na woga na uzwazwa mbali na mazoea mabayaUjinga upi wewe bwege.