Nchi za Afrika kuleta sampuli zao kuchunguzwa Tanzania

Kulikuwa na majigambo kuwa huduma za JKCI ni bora kuliko hospitali yeyote hapa East and Central na kuwa watu toka mbali wanajaa hapo Jakaya Kikwete toka nje.
Lakini wenyewe chali mara moja wanakimbilia Nairobi.
Nchi hii inapenda sana sifa kama makahaba walivyo, wao huwa wanaamini ni waziri sana na michezo wanaijua kuliko wa home.
Kulikuwa na haja gani kwenda huku?
 
Wanakwambia tumeboresha elimu huku watoto wao wapo private
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…