Nchi za Afrika kwa Kiasi kikubwa ni walalamikaji

Nchi za Afrika kwa Kiasi kikubwa ni walalamikaji

Mhafidhina07

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2014
Posts
3,678
Reaction score
5,166
Tabia hii unaweza kuiona katika vinywa vya Viongozi pamoja na wanachi wao kupitia majukwaa tofauti.

Imagine Jf Post nyingi ni za Lawama dhidi ya Serikali au Ugumu wa Maisha na Hatuoni namna mtu huyo anayelalamika aikichukua hatua dhidi ya hali inayomkabili.
 
Hatua tuliyochukua dhidi ya malalamiko yetu ni kuandamana mnamo 29/12/2025 lakini tunaowalalamikia wakatuua na bunduki.Hatua inayofuata tutaandamana Kwa silaha ili tuanze vita vya msituni ili kuwatoa Kwa nguvu ili nchi yetu tuiongoze tunaojitambua na kutumia rasilimali Kwa usawa
 
Maji hayatoki unataka tufanyaje? Nani aliyechukua dhamana ya kuhakikisha kuwa anaandaa mazingira ya upatikanaji wa maji?
Tabia hii unawwza kuiona katika vinywa vya Viongozi pamoja na wanachi wao kupitia majukwaa tofauti.
Imagine Jf Post nyingi ni za Lawama dhidi ya Serikali au Ugumu wa Maisha na Hatuoni namna mtu huyo anayelalamika aikichukua hatua dhidi ya hali inayomkabili.
 
Tabia hii unaweza kuiona katika vinywa vya Viongozi pamoja na wanachi wao kupitia majukwaa tofauti.

Imagine Jf Post nyingi ni za Lawama dhidi ya Serikali au Ugumu wa Maisha na Hatuoni namna mtu huyo anayelalamika aikichukua hatua dhidi ya hali inayomkabili.
Unatania wewe.

1. wanafanya kazi kwa bidiii na maarifa, watu wanalipa kodi lakini hakuna chochote kinachofanyika kuwasaidia walipa kodi.

2. Unadhani watu wanaokosoa uozo wa serikali feki hawana maisha? Wewe utakuwa aina ya watu wakiwa na milioni kumi benki na kagari chako unaona umemaliza kila kitu hata kama mtaani kwako kunaka kinyesi.

3. Ingia mtaani uone wakina mama, vijana, wa dada wanavyopambana lakini angalia mazingira yanayowazunguka serikali haifanyi chochote zaidi yakuweka sheria za kuwakamua.

4. Tunafahamu watu wengi mnaotetea serikali ovu za kidikteta na kikomunisti ni psychopaths. Hamjali lolote kuhusu maisha ya watu as long as umeweka matako yako hapo kwa basha wako toka serikalini anayekupatia opportunity za hapa na pale.
 
Tabia hii unaweza kuiona katika vinywa vya Viongozi pamoja na wanachi wao kupitia majukwaa tofauti.

Imagine Jf Post nyingi ni za Lawama dhidi ya Serikali au Ugumu wa Maisha na Hatuoni namna mtu huyo anayelalamika aikichukua hatua dhidi ya hali inayomkabili.
Sisi waafrika wengi ni wavivu, waoga na huwa tunataka mwingine afanye. Yaani ile ''vision'' ya kuona mambo kwa upana na urefu hatuna. Ndiyo maana mtu aliyekuwa analalamika na kukosoa jana, leo akipewa cheo anasifia. Ndiyo maana watu wengi wenye uwezo huwasikii wakikemea mambo yanapokwenda mrama. Specifically kwa Tanzania, hili jambo limeleta tatizo la viongozi wabovu na matapeli.
 
Back
Top Bottom