Mhafidhina07
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 3,678
- 5,166
Kulalamika kunaweza kuwa suluhisho la Matatizo?Acha kufundisha watu mbinu za kubaki masikini.
Kukaa kimya ni suluhisho?Kulalamika kunaweza kuwa suluhisho la Matatizo?
Chawa ni akili kisodaKukaa kimya ni suluhisho?
Tabia hii unawwza kuiona katika vinywa vya Viongozi pamoja na wanachi wao kupitia majukwaa tofauti.
Imagine Jf Post nyingi ni za Lawama dhidi ya Serikali au Ugumu wa Maisha na Hatuoni namna mtu huyo anayelalamika aikichukua hatua dhidi ya hali inayomkabili.
Kutema nyongo ni mojawapo ya suluhisho la kutuliza moyo kiroho.Kulalamika kunaweza kuwa suluhisho la Matatizo?
Unatania wewe.Tabia hii unaweza kuiona katika vinywa vya Viongozi pamoja na wanachi wao kupitia majukwaa tofauti.
Imagine Jf Post nyingi ni za Lawama dhidi ya Serikali au Ugumu wa Maisha na Hatuoni namna mtu huyo anayelalamika aikichukua hatua dhidi ya hali inayomkabili.
Sisi waafrika wengi ni wavivu, waoga na huwa tunataka mwingine afanye. Yaani ile ''vision'' ya kuona mambo kwa upana na urefu hatuna. Ndiyo maana mtu aliyekuwa analalamika na kukosoa jana, leo akipewa cheo anasifia. Ndiyo maana watu wengi wenye uwezo huwasikii wakikemea mambo yanapokwenda mrama. Specifically kwa Tanzania, hili jambo limeleta tatizo la viongozi wabovu na matapeli.Tabia hii unaweza kuiona katika vinywa vya Viongozi pamoja na wanachi wao kupitia majukwaa tofauti.
Imagine Jf Post nyingi ni za Lawama dhidi ya Serikali au Ugumu wa Maisha na Hatuoni namna mtu huyo anayelalamika aikichukua hatua dhidi ya hali inayomkabili.