Nchi za Afrika Mashariki inabidi zijifunze demokrasia ya kweli kutoka kwa Wakenya

Kenya ni muungano wa Wawakilishi wa Makabila kutaka Madaraka.

Bila kuwapata akina Naj Balala na kundi lake kutoka Mombasa hutopata kura za Pwani.

Usipocheza karata zako kumpata Kalonzo au Uhuru au Martha Karua au kwa sasa huyu dogo wa Machakos hapo Central hupati kitu na hii inaenda mpaka Mai mai pia Naivasha

Akina Musalia Mudavadi nao wana uwakilishi wa baada ya JKIA Kipengele na Kajiado mpaka huku Namanga bila kuungana nao na kuahidi madaraka.

Kanda ya Nyanza huku baada ya Kisii Kuja Kurya district mpaka ziwa Victoria bila familia ile ya Kijaluo utakuwa umechimba chini.

Ujinga unaendelea vivo hivo kwa Wakalenjin hadi Malaba huko Ruto na ndugu hawakuelewi.

Nenda kwa Wasomali wa Turkana ni maujinga jinga tu.

Nini cha kuigwa hapo ni ushuzi tu.
Coalitions za kikanda na kikabila hazina nafasi Bongo

Sent from my SM-A520F using JamiiForums mobile app
Unaijua K
 
Katiba inasema lazima mshindi apate ushindi katika county 24 na 50%+ 1 of the total vote casted . Kwa hivyo Kama hupati support ya nusu ya nchi huezi kua kiongozi na Ndio maana mtu anaungana na Yale maeneo ambayo anaweza kushawishi na kwa sababu kenya imeruhusu vyama vingi pia lazima uzungumze na viongozi mbali mbali kutoka maeneo tofauti ili wakuunge mkono maana wakiwania hautapata mshindi first round kwa sababu kuwa zitakua zimegawanyika and it's very costly, so sio eti Kama wewe ni mjaluo ukitafuta sapoti ya mudavadi au kalonzo au hata duale eti unakua unatafuta sapoti ya kikabila hili tu ni kuzuia Hawa viongozi wengine kusimama ili mshindi apatikane haraka tofauti na tanzania ambayo haina threshold kwa mfano mtu anaweza pata kura Kanda ya ziwa million moja na asipate kura kwingine na atangazwe mshindi.
 
Kabisa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yani hawaangalii chochote, yani hata ukishinda kw kura moja tayari unatangazwa rais..
 
System yao ni tofauti na yetu maana Yao haijapeana threshold ya mshindi kutangazwa Sasa wakiiona wanasiasa wa Huku wakiungana wanawaona Kama wakabila hawajui kuwa mshindi Kenya kunahitaji nguvu nyingi tofauti na huko kwao ambako mshindi alishajulikana tu yeyote ambaye CCM watamtoa Basi ndio mshindi.
 
Kabisa, huku kwetu km hujaungana na viongozi kutoka kanda tofauti tofauti huwezi kuwa rais leo wala kesho..
Manake lazima ushinde kura katika counties 24 na pia hapo hapo lazima ufikishe 50.1% ya kura zote..
Tanzania bana
 
This is how a small clique of families control Kenya

- Kenya's Presidents Together Before 3 of Them Came into Power

- Jomo Kenyatta (seated) served from 1963-1978.

- Daniel Arap Moi (standing) served from 1978-2002.

- Mwai Kibaki (bending) served from 2002-2013.

- Uhuru Kenyatta (sitting next to his dad) is the current President.

- Also Daniel Moi became a foster father to Uhuru Kenyatta once his old father died.

Mwai Kibaki was already Uhuru Kenyatta’s godfather.

View attachment 1478831
Democracy ya kuua raia sababu ya corona? Unalazimisha watu wakae ndani ili wasije kufa kwa korona halafu unaua watu 15 Wala hamna maandamano kweli Kenya kichwa Cha mwendawazimu
 
Demokrasia zaidi ya taasisi ya urais. Demokrasia ni taasisisi zilizo madhubuti (strong independent institutions), freedom of expression and association, chaguzi huru na haki. Watanzania chini ya udikteta wa chama kimoja tuache fitna na kejeli kwa majirani .
 
Demokrasia zaidi ya taasisi ya urais. Demokrasia ni taasisisi zilizo madhubuti (strong independent institutions), freedom of expression and association , chaguzi huru na haki ........ watanzania chini ya udikteta wa chama kimoja tuache fitna na kejeli kwa majirani .
Fitina ipi unayoiongelea wewe? Kwa hiyo kenya ndio kuna demokrasia au umeamua tu kujiandikia
 
Kabisa, huku kwetu km hujaungana na viongozi kutoka kanda tofauti tofauti huwezi kuwa rais leo wala kesho..
Manake lazima ushinde kura katika counties 24 na pia hapo hapo lazima ufikishe 50.1% ya kura zote..
Tanzania bana
Kenya kuna majangili ya siasa tu, ndio mahana kwenye uchaguzi kila kundi linajitangaza limeshinda😂😂
 
Kenya kuna majangili ya siasa tu, ndio mahana kwenye uchaguzi kila kundi linajitangaza limeshinda[emoji23][emoji23]
Jitangaze kw jiwe uone ujangili utakaofanyiwa[emoji1787][emoji1787]
 
Huku kwa KENYA tuko tunatumia UKABILA kupata Rais bora bora Tz majiran zetu wako na chama
 
Jitangaze kw jiwe uone ujangili utakaofanyiwa[emoji1787][emoji1787]
Sasa mamlaka ya kutangaza rais inafahamika,wewe ukakusanye wavuta bangi wenzako huko mnarekodi mkanda eti wewe ni mshindi wa kiti cha urais,posib utapewa mimba haraka uzae tofali.

Maana hizo ni bangi na miraa.
 
Hapo ndipo mnapofeli sasa[emoji1787][emoji1787]
Kuna vitu ni vya kupuuza, akijiapisha ndio ataingia ikulu..
Mihemko kenya hamna, serikali haiendeshwi kw povu
 
Mnaacha kupuuza vitu vya hovyo mnapuuza vitu vyenye ishara zote za hatari.

Hivi nikuulize,unakumbuka mauaji kenya baada ya uchaguzi sababu ilikuwa niji,si ni mambo ya ajabu kama hayo!!!!mpaka raila akaitwa kwenda kubembelezwa awasihi wafuasi wake waache fujo,ndipo hali ikatulia.

Sisi tunapuuza jambo la kipuuzi haswa hata lije na suti,ila jambo lolote lenye harufu mbaya litachukuliwa hatua bila kujali ni dogo kiasi gani.
 
Hakuna mtu atawajibu, nyinyi endeleeni kubwetuka tu
 
Back
Top Bottom