Nchi za Afrika Mashariki inabidi zijifunze demokrasia ya kweli kutoka kwa Wakenya

Toa ujinga wako hapa. Onesha picha kama hizi
 
Hivi unajua kura za Kibaki kuingia madarakani Uhuru Kenyatta ndo alikua mpinzani wake? Uhuru Kenyatta alikua kwa opposition kwa miaka mingi kabla yeye naye ashike usukani...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…