Nchi za Afrika Mashariki zasalimu amri kwa Marekani. Sasa mitumba ruksa!

Nchi za Afrika Mashariki zasalimu amri kwa Marekani. Sasa mitumba ruksa!

hatuwezi kuendelea kwa kukamuana wenyewe kwa wenyewe.
TUSIDANGANYANE KWAMBA NGUO NDO ZINAWEZA KUKUZA UCHUMI WETU.
kuna vitu vingi vipo nchini mwetu endapo siku tukiwa na akili tunaweza kuwa moja ya nchi tajiri barani Africa.
Kwahiyo ushauri wako kwasasa ni kwamba tusizalishe chochote kile hapa nchini kwa sasa hadi tutakapoweza kuzalisha bidhaa za bei nafuu kushinda za nje?, viwanda vyote hapa nchini tuvifunge tuagize bidhaa zote toka nje?[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Na umaskini wote huo mtasusia vipi, hivi mlifikia wapi kwenye viwonder vya cherehani.
In reality Kenya ni maskini kuliko Tanzania,
Na sio maskini tu, Bali ni Cowards, yaani Viongozi wenu hadi nyie wananchi ni Cowards, bootlickers, mbwa wa wazungu.
 
In reality Kenya ni maskini kuliko Tanzania,
Na sio maskini tu, Bali ni Cowards, yaani Viongozi wenu hadi nyie wananchi ni Cowards, bootlickers, mbwa wa wazungu.
Mbwa wa wazungu ni nyinyi ambaye mlibadilisha gia angani baada ya kuona uso wa mzungu ghafla umeanza kubadilika rangi. Mngesimama imara kwa mwezi mwingine mmoja mngetoka kwenye 'vita' hivyo angalau na kamkataba kenye manufaa kwenu.
 
Mbwa wa wazungu ni nyinyi ambaye mlibadilisha gia angani baada ya kuona uso wa mzungu ghafla umebadilika rangi. Mngesimama imara kwa mwezi mwingine mmoja mgetoka kwenye 'vita' hivyo angalau na kamkataba kenye manufaa kwenu.
Kamwe Tanzania haijawahi na haitakujakuyumbishwa hapa duniani, tuliwapinga wazungu enzi za kuwapigania waafrika wenzetu kusini mwa Afrika, wakati ninyi wakenya mlikua mkilamba miguu ya wazungu kwa kuogopa kunyimwa misaada.

Tumekataa EPA, ninyi wakenya mlikimbilia Belgium kwenda kuweka saini kwa kuwaogopa wazungu kama kawaida yenu, na hili la kukataza mitumba ifikapo 2020 tumeamua na kamwe hatuwezi kubadilika, sisi sio vibaraka wa wazungu, tukiamua tumeamua, hamkumbuki jinsi mlivyotubembeleza ili tukubaliane na EPA, mlitutishia kwamba tutawekewa vikwazo na nchi za Europe, lakini tumeendelea na msimamo wetu hadi leo, this is Tanzania.
 
Kamwe Tanzania haijawahi na haitakujakuyumbishwa hapa duniani, tuliwapinga wazungu enzi za kuwapigania waafrika wenzetu kusini mwa Afrika, wakati ninyi wakenya mlikua mkilamba miguu ya wazungu kwa kuogopa kunyimwa misaada.

Tumekataa EPA, ninyi wakenya mlikimbilia Belgium kwenda kuweka saini kwa kuwaogopa wazungu kama kawaida yenu, na hili la kukataza mitumba ifikapo 2020 tumeamua na kamwe hatuwezi kubadilika, sisi sio vibaraka wa wazungu, tukiamua tu
Acha longolongo zako wewe. 2018 sasa ndo imekuwa 2020? Hahaha, 😀 simngekaa uchi hadi hiyo 2020? Ikifika ni kwenye mikakati ambayo si ya kukurupuka, watz huwa hampo. Mlituponda sana kwasababu tulisema marufuku ya mitumba kwetu haitafanywa kabla ya mikakati ya serikali ya Kenya, ya kukuza viwanda, haijatimizwa. Sasa mpo palepale, hamjielewi hata kidogo. Mzungu akikohoa tu mnazamia kwenye mapango. Waoga ni waoga tu.
 
Siku zote ninyi ni mbwa koko wa wazungu na mtabaki hivyo, onyesha ni wapi ilisemwa mitumba itazuiliwa 2018. Kumnuka kwamba wakati mkataba huu unakubaliwa na nchi zote za East Afrika, huyo mbwa wenu mvuta bhangi alikuwepo na kutia saini yake, kwanini asingekataa kuweka saini kama tulivyokataa sisi kwenye EPA, au alikuwa amevuta bhangi, akili iliporudi vizuri ndiyo akasikia mabwana zenu wanawaambia mjitoe ndipo akaamua kujitoa?, a failed state at its best.
 
Siku zote ninyi ni mbwa koko wa wazungu na mtabaki hivyo, onyesha ni wapi ilisemwa mitumba itazuiliwa 2018. Kumnuka kwamba wakati mkataba huu unakubaliwa na nchi zote za East Afrika, huyo mbwa wenu mvuta bhangi alikuwepo na kutia saini yake, kwanini asingekataa kuweka saini kama tulivyokataa sisi kwenye EPA, au alikuwa amevuta bhangi, akili iliporudi vizuri ndiyo akasikia mabwana zenu wanawaambia mjitoe ndipo akaamua kujitoa?, a failed state at its best
Blah blah blah, nchi yenu inaendeshwa kama kibanda cha mama ntilie. Kastama wa kabeji wakikosa zote zinatiwa ndani ya maharage.
 
Back
Top Bottom