joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Kwahiyo ushauri wako kwasasa ni kwamba tusizalishe chochote kile hapa nchini kwa sasa hadi tutakapoweza kuzalisha bidhaa za bei nafuu kushinda za nje?, viwanda vyote hapa nchini tuvifunge tuagize bidhaa zote toka nje?[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]hatuwezi kuendelea kwa kukamuana wenyewe kwa wenyewe.
TUSIDANGANYANE KWAMBA NGUO NDO ZINAWEZA KUKUZA UCHUMI WETU.
kuna vitu vingi vipo nchini mwetu endapo siku tukiwa na akili tunaweza kuwa moja ya nchi tajiri barani Africa.