FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Daaah, waachilie hizo audio clips mapema ili France azidi kuumbukaMagenge yote kama M23 huwa ni makundi ambayo yanapandikizwa na wazungu ili kuleta vurugu katika nchi husika ili wao wapate kusmuggle rasilimali za waafrica that's why hakuna hata taifa moja lililofanikiwa kuwamaliza hao waasi licha ya kutumwa kwa vikosi vya msaada kutoka kwa hao wazungu. mfano ulio hai ni kule Burkina faso, cpt. Ibrahim traore alichukuwa uamuzi wa kuvitimua vikosi vyote vya kijeshi vya france baada ya kubaini kuwa france ndio mfadhili mkuu wa magaidi na waasi. Sasa hivi magaidi yamekwisha baada ya burkina faso kufanya alliance na Russia. pia intelligence ya burkina faso inadai kuwa kuna majeshi ya france yanatoa msaada wa silaha na mafunzo ya kijeshi kwa waasi wa msituni nchini Ivory coast na Benin ili kwenda kuanzisha ghasia Burkina faso Cpt. Traore anasema wanaushahidi mpaka wa sauti za mawasiliano baina ya france officials na waasi
Watakuja wakemia kizazi kijacho na kulainisha sumu iliyowekwa. MUNGU fundi mkuuUsiende Mbali Tanzania hii kuna Mgodi umejazwa maji na kutiwa SUMU. Wakoloni walikasirika kufurushwa. Wamekuja Waturuki na Wachina wameushindwa wametoa ripoti kwamba maji na Sumu yaliyojazwa kwenye huo Mgodi ukiyavuta kuja Nchi kavu yataathiri vyanzo vyote vya Nchi kavu kuzunguka eneo hilo na watu watapoteza Maisha.
Mgodi Upo Mpanda Mjini Mkoa wa Katavi eneo la Kampuni. Reli ya kutoka Tabora Mpanda inaishia ndani ya Mlima/Handaki la Mgodi huo wa Dhahabu. Afrika tumeonewa sana na makaburu.
Nakuunga mkono,1. Benki kuu za nchi hizo zinatakiwa (sio ombi, ni amri) kuweka asilimia 50% ya hazina yake yote katika benki za ufaransa.
Na serikali ya ufaransa ina haki zote za kutumia pesa hizo bila ruhusa kutoka nchi husika.
Pia ndio maana pesa zao (nchi nyingi Afrika magharibi: Senegal, ivory coast, mali, benin, niger, burkina faso etc) zinaitwa CFA Franc.
2. Right of First Refusal.
Ufaransa kama koloni lao la zamani wana haki ya kukataa kwanza kwa uwekezaji wowote ule unatakiwa kufanywa katika nchi hizo.
Mfano;
Benin kagundua kuwa ana madini ya urani(uranium) katika ardhi yake, taarifa inabidi ziwafikie serikali ya ufaransa kwanza, nayo itangazie makampuni ya uchimbaji madini kuhusu hiyo fursa. Kama makampuni na serikali itaona hiyo fursa haina tija kwao, wataikataa, hapo sasa ndio serikali ya Benin inaweza tangaza fursa hiyo kwa nchi wawekezaji wengine ambao si wafaransa.
Kwa ufupi ni kwamba, ufaransa kajibinafsishia hizo nchi milele.