Nchi za Afrika za Francophonie na Common wealth zinalipa Trillion 3000 kila mwaka kwa Ufaransa na Uingereza kama fidia ya faida za ukoloni

Magenge yote kama M23 huwa ni makundi ambayo yanapandikizwa na wazungu ili kuleta vurugu katika nchi husika ili wao wapate kusmuggle rasilimali za waafrica that's why hakuna hata taifa moja lililofanikiwa kuwamaliza hao waasi licha ya kutumwa kwa vikosi vya msaada kutoka kwa hao wazungu. mfano ulio hai ni kule Burkina faso, cpt. Ibrahim traore alichukuwa uamuzi wa kuvitimua vikosi vyote vya kijeshi vya france baada ya kubaini kuwa france ndio mfadhili mkuu wa magaidi na waasi. Sasa hivi magaidi yamekwisha baada ya burkina faso kufanya alliance na Russia. pia intelligence ya burkina faso inadai kuwa kuna majeshi ya france yanatoa msaada wa silaha na mafunzo ya kijeshi kwa waasi wa msituni nchini Ivory coast na Benin ili kwenda kuanzisha ghasia Burkina faso Cpt. Traore anasema wanaushahidi mpaka wa sauti za mawasiliano baina ya france officials na waasi
 
Daaah, waachilie hizo audio clips mapema ili France azidi kuumbuka
 
Watakuja wakemia kizazi kijacho na kulainisha sumu iliyowekwa. MUNGU fundi mkuu
 
Nakuunga mkono,

Dangote kasema umbali wa kiwanda chake cha cement ni karibu zaidi na Benin kuliko Lagos,

Lakini kanyimwa kibali kuuza cement benin ,na badala yake wanaingiza cement toka China
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…