Nchi za Afrika zilizofanikiwa kurusha satelite zao katika anga mbalimbali

Kidagaa kimemwozea

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2018
Posts
3,680
Reaction score
6,554
Nchi za Afrika hupeleka satelaiti zao anga za mbali kwa sababu mbalimbali, ikiwemo kufanya tafiti za kilimo na kurahisisha upatikanaji wa huduma za mawasiliano.

Ifuatayo ni orodha ya nchi za Afrika ambazo zimefanikiwa kurusha satelaiti zao kwenda anga za mbali. chanzo TRT

Soma Pia:

FB_IMG_17283106268455257.jpg
 
Nchi za Afrika hupeleka satelaiti zao anga za mbali kwa sababu mbalimbali, ikiwemo kufanya tafiti za kilimo na kurahisisha upatikanaji wa huduma za mawasiliano.

Ifuatayo ni orodha ya nchi za Afrika ambazo zimefanikiwa kurusha satelaiti zao kwenda anga za mbali. chanzo TRT

View attachment 3117988
chawa wa mama, ChawaWaMama, Lucas Mwashambwa, MamaSamia2025 na mbumbumbu wengine mnaosema mama kaupiga mwingi, tuelezeni katika miaka yote tangu Uhuru mmerusha satellite ngapi kwenda anga za mbali?
 
Siku Tz ikirusha satelite zitamiminika nyuzi hapa JF za kulaumu na kuponda,

Kuna watakaosema Satelite za nini na hatuna madawati,hatuna madawa,umeme,maji....

Kama ilivyokua Ndege,watu walikua wanalaumu hatuna hata Ndege,tunazidiwa hata na Rwanda! Ziliponunuliwa Ndege wakaanza kuponda!

Nafikiri tatizo letu kubwa ni kwamba hatujui tunataka nini.
 
Watanzania wachache saana ni wazalendo.kwenye 60 mill hawafiki 100 humo Nyerere hayupo.hivyo hatuwezi kufanya chochote kile tunabaki kuwa kama mifugo.
Umeamza vizuri ila hapo pa Nyerere hayumo kwenye wazalendo umepotea njia labda kama unamchukia kwa sababu za kidini, maana waislam wamejitambulisha kama maadui wa Nyerere
 
Nchi za Afrika hupeleka satelaiti zao anga za mbali kwa sababu mbalimbali, ikiwemo kufanya tafiti za kilimo na kurahisisha upatikanaji wa huduma za mawasiliano.

Ifuatayo ni orodha ya nchi za Afrika ambazo zimefanikiwa kurusha satelaiti zao kwenda anga za mbali. chanzo TRT

View attachment 3117988
Hadi Djibut wametushinda bongo🥲🥲
 
Nchi za Afrika hupeleka satelaiti zao anga za mbali kwa sababu mbalimbali, ikiwemo kufanya tafiti za kilimo na kurahisisha upatikanaji wa huduma za mawasiliano.

Ifuatayo ni orodha ya nchi za Afrika ambazo zimefanikiwa kurusha satelaiti zao kwenda anga za mbali. chanzo TRT

View attachment 3117988
Siku tukipunguza kurusha mabomu, na kuwapa motisha kubwa walimu wa sayansi hasa physics, mathematics, na geography, tutafikiria kurusha Satellite,
 
Umeamza vizuri ila hapo pa Nyerere hayumo kwenye wazalendo umepotea njia labda kama unamchukia kwa sababu za kidini, maana waislam wamejitambulisha kama maadui wa Nyerere
Mkuu kwa hoja ya Nyerere upo sahihi ni moja ya mzarendo aliyesahau kujijengea hata nyumba ya kuishi baada ya kustaafu ili hiyo sentence ya mwisho ina ukakasi.
 
Umeamza vizuri ila hapo pa Nyerere hayumo kwenye wazalendo umepotea njia labda kama unamchukia kwa sababu za kidini, maana waislam wamejitambulisha kama maadui wa Nyerere
Umeijuaje dini ya mleta mada?

Waislam gani hao waliojitambulisha kua ni maadui wa Nyerere? Walijitambulisha kwa nani? Unao ushahidi?

Jitahidi uisome historia ya nchi yako,angalia Nyerere baada ya kufika Dar alipokewa na kina nani? Aliishi na kina nani?

Wewe unaonekana una chuki ya udini ndio maana umewaza hivyo,usitake kuchafua huu uzi.
 
Hivi ni kweli ngozi nyeusi wana low IQ katika races zote? Au ni viongozi ndio shida?
Kwenye hio list South Africa pasipo mkaburu wangekuwa kama sisi, wanaofuata ni waarabu, hapo aliyeokoa jahazi ni Nigeria.
 
Back
Top Bottom