Ungeweka sawa kuwa hizo satelite ni earyh Obervation satelite zote zimekula lift ya NASA.. maana yake zimerushwa kutoka US kwa kutumia NASA satwlite vehicle launchers facilities.. ila monitoring base ndo ziko kwenye nchi husika.. sababu lengo ya satelite hizo ni kupata data zinazohusu, geotopology, minerals, Agriculture hali ya ya hewa na mengineyo .
Mfano hiyo ya Uganda walishirikiana na Zimbabwe katika program ya "Bird" kwa ufadhili wa Japan nahs ingawa sina hakika sana naweza kusahihishwa lengo ilikuwa kuweza kuscan na kuepana taarifa za maswala ya kilimo.. na mengineyo
Ukisema wamerusha satelite zao watu watawaweka kwenye mwavuli mmoja na the likea of Urusi, US na China
ni kitu kizuri ku sorsource data zako mwenyewe ila ukiniuliza mie nitakwambia.. Ni kitu Muhimu ila sio cha dharula
Wa Africa tunashindwa kuwa na consistency kwenye maendeleo sababu hatuend kwa plan. Tunaruka ruka kwenye program zetu.. na mbaya zaid wazungu wanaona hilo ila sababu wanafaidika wanaendelea ku mislead
Hiki chini ndo serikali nyingi za Africa zinakikosa
View attachment 3118041
Huwez kuwa na Nchi ambayo haina mahitaj ya msingi ya uhakika madawa, hosptal. Barabara na maji safi.. kisha unawekeza kwenye project ya kuweza kukuonyesha hali ya hewa na Mambo ya Ardhi.. wakat hizo taarifa ungezioata kwa wengine ,ndio utalipia ila sio gharama kubwa..
Tanzania sasa hivi hizo data anazipata kupitia madishi 2 yamefungwa kule
Kunduchi na hapa kurasini kilimo, almost 10 years ago.. sina data za karibun kuna uwezekano yameongezwa.. na yote yamekuwa connectes na Satelite za Africa na za ufaransa.. by the way ilikuwa ni msaada wa Ufaransa (METEO FRANCE) kwa nchi za Africa kupitia nahs ni African Bank na AU, sina hakika.. kenya na tanzania walikuwa moja ya wafaidika
NARUDI SIKATAI KUWA NI KITU MUHIMU ILA SIO DHARULA. Kwa dunia ya sasa ambapo teknoloji imekuwa information ni easy and cheap to get.. we fikiria US anamiliki zaid ya 11,000 satelite.
Hapo hatujamtaja China, Mrusi na wengine na wala hatujazungumzia private entities
Elon musk anamiliki 2/3 ya PRIVATE satelite zote dunian ambazo zina ORBIT earth.. yule jamaa kila week alikuwa anarusha satelite.sasa kwa nini hizo fedha za msaada za kununuliwa na kurushiwa satelite yenu isipelekwe kwete barabarab na Hospital