Kidagaa kimemwozea
JF-Expert Member
- Jul 13, 2018
- 3,680
- 6,554
Imerusha ungoš¤£Nchi yako imerusha ngapi mdau
šššššImerusha ungoš¤£
chawa wa mama, ChawaWaMama, Lucas Mwashambwa, MamaSamia2025 na mbumbumbu wengine mnaosema mama kaupiga mwingi, tuelezeni katika miaka yote tangu Uhuru mmerusha satellite ngapi kwenda anga za mbali?Nchi za Afrika hupeleka satelaiti zao anga za mbali kwa sababu mbalimbali, ikiwemo kufanya tafiti za kilimo na kurahisisha upatikanaji wa huduma za mawasiliano.
Ifuatayo ni orodha ya nchi za Afrika ambazo zimefanikiwa kurusha satelaiti zao kwenda anga za mbali. chanzo TRT
View attachment 3117988
WamerushaWamerusha au wamerushiwa?
Umeamza vizuri ila hapo pa Nyerere hayumo kwenye wazalendo umepotea njia labda kama unamchukia kwa sababu za kidini, maana waislam wamejitambulisha kama maadui wa NyerereWatanzania wachache saana ni wazalendo.kwenye 60 mill hawafiki 100 humo Nyerere hayupo.hivyo hatuwezi kufanya chochote kile tunabaki kuwa kama mifugo.
HahahahaImerusha ungoš¤£
Hadi Djibut wametushinda bongoš„²š„²Nchi za Afrika hupeleka satelaiti zao anga za mbali kwa sababu mbalimbali, ikiwemo kufanya tafiti za kilimo na kurahisisha upatikanaji wa huduma za mawasiliano.
Ifuatayo ni orodha ya nchi za Afrika ambazo zimefanikiwa kurusha satelaiti zao kwenda anga za mbali. chanzo TRT
View attachment 3117988
Siku tukipunguza kurusha mabomu, na kuwapa motisha kubwa walimu wa sayansi hasa physics, mathematics, na geography, tutafikiria kurusha Satellite,Nchi za Afrika hupeleka satelaiti zao anga za mbali kwa sababu mbalimbali, ikiwemo kufanya tafiti za kilimo na kurahisisha upatikanaji wa huduma za mawasiliano.
Ifuatayo ni orodha ya nchi za Afrika ambazo zimefanikiwa kurusha satelaiti zao kwenda anga za mbali. chanzo TRT
View attachment 3117988
Mkuu kwa hoja ya Nyerere upo sahihi ni moja ya mzarendo aliyesahau kujijengea hata nyumba ya kuishi baada ya kustaafu ili hiyo sentence ya mwisho ina ukakasi.Umeamza vizuri ila hapo pa Nyerere hayumo kwenye wazalendo umepotea njia labda kama unamchukia kwa sababu za kidini, maana waislam wamejitambulisha kama maadui wa Nyerere
Umeijuaje dini ya mleta mada?Umeamza vizuri ila hapo pa Nyerere hayumo kwenye wazalendo umepotea njia labda kama unamchukia kwa sababu za kidini, maana waislam wamejitambulisha kama maadui wa Nyerere
Labda urushe maji.Msijali watanzania mimi kijana wenu mshamba hachekwi naahidi kiwarushia satelite.
Nitaiwakilisha nchi yangu.