Kidagaa kimemwozea
JF-Expert Member
- Jul 13, 2018
- 3,680
- 6,554
Wanaangalia birth rate πNatamani kujua mbinu walizotumia kufanya huo utafiti
Hii ni uongo bwana ..bongo ndio namba Moja .
UjingaSerikali iongeze motisha na kuwawezesha vijana pesa ya kuhonga, ili angalau mwakani tushike nafasi ya kwanza.
Dadeq!Vigezo gani vimetumikaa?? Napinga hii list sio sahihi.
[emoji1241] lazima iwe Top 3, no matter what.
Mikiki yote ile nayo imiliki, kuulilia kotee kulee, nimeshindwa kuwakilisha nchi yangu,? Hapanaaa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]